Nifanyeje? Upweke unatafuna moyo wangu vibaya mno

Nifanyeje? Upweke unatafuna moyo wangu vibaya mno

Asee utu uzima dawa 🙄

Mimi ni mwanaume mtu mzima 35+ ila niseme ukweli moyo wangu unavuja damu za kutosha kila nikiingia nyumbani baada ya mihangaiko nakuwa na void moyoni isiyopimika

Sasa hivi kuna kazi inatakiwa nifanye ila nimeshindwa kabisa kufanya asee yaani najisikia kufa kufa hapa nilipo.

Kwa nje naji present kama mtu mgumu ila ndani nateketea vibaya mnoo nasikia kama mtu anachana chana huu moyo by the way naishi mwenyewe sijui ndo sababu au ni nn? Yaani najisikia vibaya kama mgonjwa hii kazi sijui nifanyeje nimevumilia nimechoka nipeni ushauri

Nikitafuta demu itasaidia? Japo Mungu hawezi kukupa vyote hilo nimeamini asilimia 100 😑
Saliti chama cha UWABATA
 
Bro ungefanya process upate mtoto hata mmoja tu,,,,,, tatzo litapungua pakubwa sana!!!!
Hi kitu sijui Mungu kaweka Siri gani hapo,, Yani ukimtizama mwanao anafrahia biscuit ulomletea na pipi hapohapo hata kama unamadeni unasahau bro
Kuna ukweli hapa mkuu nakubali kabisa
 
Back
Top Bottom