Nifanyeje? Upweke unatafuna moyo wangu vibaya mno

Asee utu uzima dawa 🙄

Mimi ni mwanaume mtu mzima 35+ ila niseme ukweli moyo wangu unavuja damu za kutosha kila nikiingia nyumbani baada ya mihangaiko nakuwa na void moyoni isiyopimika

Sasa hivi kuna kazi inatakiwa nifanye ila nimeshindwa kabisa kufanya asee yaani najisikia kufa kufa hapa nilipo.

Kwa nje naji present kama mtu mgumu ila ndani nateketea vibaya mnoo nasikia kama mtu anachana chana huu moyo by the way naishi mwenyewe sijui ndo sababu au ni nn? Yaani najisikia vibaya kama mgonjwa hii kazi sijui nifanyeje nimevumilia nimechoka nipeni ushauri

Nikitafuta demu itasaidia? Japo Mungu hawezi kukupa vyote hilo nimeamini asilimia 100 😑
+Na - ni LAZIMA, wewe unapingana na Muumba wako angalia usije baka.
 
Jamani kipenzi changu...mbona hunambiii kumbe unavuja damu moyo wako na kwaresma hii..ndo kipindi tunaonyesha mapendo daima...pole sana..
Ila tatizo ni kazi au kuna la ziada? Kazi hyo kazi ganu jamani
Asante bestie,
Jana usiku i felt very lonely moyo uliniuma balaa well profession yangu inataka nifanye kazi muda wowote ule maana ina deal na technology but i felt really stuck cause of loneliness namshukuru Mungu leo imepungua sio kama jana

Asante kwa kunijulia hali my dear mwenyezi Mungu akutunze sana hakika your soul is pure 😇🤗
 
Pole sana sana...sikua online for 2 days huku JF..hii hali ni kawaida very normal yani...mimi best yako nina familia but still hii hali ktk mwaka inaweza tokea mara moja...i think ni kitu cha kawaida na hasa kama upo iddle kwa muda fulani au huna watu karibu kwa muda huo....cha kufanya unaweza piga simu kwa mtu unaempenda ukaongea nae kwa wkt huo...yule anaeweza kupokea simu at any time "t"....sio lazima soulmate hata rfk yako au mama yako...mm moyo ukiniuma huwa simpigii mr nampigia mama yangu mzazi...na unakuta moyo wangu unatulia..so nadhani ni jambo ambalo binadamu hatuwezi kukwepa ktk sfr ya maisha yetu...kufeel lonely and emptyness....
 
Asante bestie kwa ushauri sema kutokana na thread inaonesha watu wengi wanapitia hii hali i thought niko peke angu kumbe hata sio!
 
Hauko peke yako...as long as tupo duniani jua aso hili ana lile....
Or ana both 😆 😆 😆 😆 😆
Hakuna jipya chini ya jua ni venye utaamua kulichukulia....
Keep going......
Sasa ufanye uoe naona kumbe suala ni upweke wa mahusiano...
 
Kipenzi changu kwenye suala la kuoa huko siko kabisa sababu visa vya kutisha vimekua vingi sana (usaliti, kulogwa, kuuawa, kufilisiwa, magonjwa) hiyo risk kamwe siwezi ichukua acha nijaribu hobby nyingine nzuri nzuri itayonifaa niifanye

Ubarikiwe my dear ☺️🙏
 
Daaah yani daaah.... 😊 😊 😊
Haya bana sasa nitasema nini tena..
Mungu akupe hitaji la moyo wako mpendwa
 
Asee utu uzima dawa 🙄

Mimi ni mwanaume mtu mzima 35+ ila niseme ukweli moyo wangu unavuja damu za kutosha kila nikiingia nyumbani baada ya mihangaiko nakuwa na void moyoni isiyopimika

Sasa hivi kuna kazi inatakiwa nifanye ila nimeshindwa kabisa kufanya asee yaani najisikia kufa kufa hapa nilipo.

Kwa nje naji present kama mtu mgumu ila ndani nateketea vibaya mnoo nasikia kama mtu anachana chana huu moyo by the way naishi mwenyewe sijui ndo sababu au ni nn? Yaani najisikia vibaya kama mgonjwa hii kazi sijui nifanyeje nimevumilia nimechoka nipeni ushauri

Nikitafuta demu itasaidia? Japo Mungu hawezi kukupa vyote hilo nimeamini asilimia 100 😑
Ivi Bongo hii kuna watu wanaumwa kisa Upweke au kujiendekeza tu
 
Back
Top Bottom