Sometimes kataa ndoa wapo sahihi, sometimes hawapo sahihi.
Ww tafuta njia ya kuepukana na upweke hata kama hy njia ina mapungufu.
Kashindwa kusema upwiru umemkaba πKweli upo mpweke uzi wa saa 6 usiku jmnπππππ
Kweli upo mpweke uzi wa saa 6 usiku jmnπππππ
Hapana mkuu, ukisikia mtu anasema n mpweke ww fuatilia n upweke wa namna gn ndo utajua tunarudi huku huku kwenye mapenziKwa asilimia 80 hadi 90 ndoa sio suluhisho la upweke.
Jamii inayomzunguka mhusika aliyoijenga wakati ananguvu/pesa/madaraka ndo vitasaidia walau kwa asilimia 20 kumuondolea mtu upweke.
Kweli kabisa, mimi naomba kuongeza hadi 95 kwa uzoefu wangu binafsi.Kwa asilimia 80 hadi 90 ndoa sio suluhisho la upweke.
Jamii inayomzunguka mhusika aliyoijenga wakati ananguvu/pesa/madaraka ndo vitasaidia walau kwa asilimia 20 kumuondolea mtu upweke.
Aah najisikia kufa kufa aseee kumbe ni ngumu hivi utasema nimeumizwa na mapenzi au biashara kumbe sio hivyoSometimes kataa ndoa wapo sahihi, sometimes hawapo sahihi.
Ww tafuta njia ya kuepukana na upweke hata kama hy njia ina mapungufu.
Mungu hawezi kuhusika kwenye mambo madogo ambayo yapo ndani ya uwezo wako.Aah najisikia kufa kufa aseee kumbe ni ngumu hivi utasema nimeumizwa na mapenzi au biashara kumbe sio hivyo
Eeh Mungu nipe roho ngumu π’
Kasie Le mama leee, mbless basi mwanetu cha kupoza upweke1. Pesa unayo? Ya kutosha?
2. Hobi yako ni nini?
3. Acha kufukua makaburi ya nyuzi za zamani, sio suluhisho la upweke ulionao.