Asante kwa ushauriDemu hatakusaidia ...zaidi akiondoka utabaki unaumia
Ni hatari kumpata mtu kipindi hiki anaweza asiwe sahii kwa sababu you desperate to her
Sijaju imani yako...katika muda unaokuwa na nafasi dedicate na anza kureview na kujenga mahusiano na Mungu
....kama muislam anza swala tano
....mkristo mkatoliki kama mimi...nenda misa daily asubuhi ...sali rozari...muda una nafasi nenda kajiandikishe kwaya au kikundi chochote cha kidini chenye mtazamo chanya
Anaweza kuwa mpweke na huko pia. Kuna furaha na raha. Watu kibao hawana furaha ila wanapata raha, huko atapata raha tu, kisha kero mafala wakimzingua. Imagine unakutana na dizaini za yule jamaa aliempasua jamaa na kitako cha bastolaUwe unaenda ibada za usiku 'pub' utakutana na watu wenye furaha wa kila namna, muhimu uwe na salio tu.
Umeandika mkuu 👊Hayo maisha sio ya kila mtu tuachie sisi wewe oa usijiforce sana utajifia… Sisi wengine tumekua udogoni since tuko under 10yrs unakuta home hamna tv, hamna umeme unakuta unalelewa na single parent alafu ubaya we ndo mtoto wa pekee huna w kucheza nae mzazi anaingia mishe sometimes anarudi home mida mibovu anakuta jembe lake unamsubiri unakiangalia kibatari hadi kinaisha wese imagine from saa moja usiku (naanzia muda huo maana hata kama kulikuwa na companya ya watoto wa wengine basi muda huo inabidi kilq mtu aende kwao so unajikuta ndani mwenyewe) hadi saba usiku unasubiri mzee arudi ndo akuletee msosi ule ndo ulale so hiyo imetufanya tumekuwa introvert ndo maana kwetu hadi sasa tumekuwa kuishi na watu ni usumbufu sana it feels cool kuwa peke yetu.
Baba shikamoo!kwa hiyo paragraph ya mwisho inaonyesha hela ya kubadili mboga ipo,sasa fanya hivi tafuta mtu uwe unaishi nae humo ndani methane,mparuane ila utajisikia poa....pole mybabaAsee utu uzima dawa 🙄
Mimi ni mwanaume mtu mzima 35+ ila niseme ukweli moyo wangu unavuja damu za kutosha kila nikiingia nyumbani baada ya mihangaiko nakuwa na void moyoni isiyopimika
Sasa hivi kuna kazi inatakiwa nifanye ila nimeshindwa kabisa kufanya asee yaani najisikia kufa kufa hapa nilipo.
Kwa nje naji present kama mtu mgumu ila ndani nateketea vibaya mnoo nasikia kama mtu anachana chana huu moyo by the way naishi mwenyewe sijui ndo sababu au ni nn? Yaani najisikia vibaya kama mgonjwa hii kazi sijui nifanyeje nimevumilia nimechoka nipeni ushauri
Nikitafuta demu itasaidia? Japo Mungu hawezi kukupa vyote hilo nimeamini asilimia 100 😑
Thanks love kwa kunijulia hali nimeshasuluhisha by the wayBaba shikamoo!kwa hiyo paragraph ya mwisho inaonyesha hela ya kubadili mboga ipo,sasa fanya hivi tafuta mtu uwe unaishi nae humo ndani methane,mparuane ila utajisikia poa....pole mybaba