safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Mkuu kibongobongo kumpeleka mtoto mapema shule bado ni ukatili kwa sababu shule zetu zinawarundikia watoto masomo ambayo hayakuzi il curiosiry yake.Mtoto wa miaka 4 ameisha develop language schemas hivyo anaweza kujifunza chocchote. Mtaala waTZ wenyewe ni cyclic hauna jopya.
Kwa wenzetu watoto shuleni kuna mazingira rafiki ya kujifunza kwa vitendo na bla bla haziwi kama hapa bongo.
Kwa bongo ni bora mtoto awe anacheza nyumbani na kushiriki michezo mbalimbali ya kumjenga akili mpaka afike hiyo mjaka 6 ndio aende shule,kuliko kumpeleka shule na miaka mi3 yaani shuleni ataenda kudumazwa akili.