Nifanyeje wanangu wawe na akili nyingi darasani

Nifanyeje wanangu wawe na akili nyingi darasani

Nakazia hapa
UKute kuanzia mimba inatungwa mpk mtoto anazaliwa + makuzi ya ile miaka 5 ya mwanzo mama ni stress tupu...kilio na masononeko kila day , hlf leo unadai mtoto hana akili.

MJifunze kutunza hizo mbegu zenu, cyo kila siku ni pombe ,miraa, energy drink hlf ukatungishe mimba mtoto awe na akili.
Kabisa
 
I
Mental retarded person na mental ill prson hawa ni watu wawili tofauti.

Mental illness and mental retardation are completely two different terms and with two different concepts in them and cannot be used interchangeably.
1 Mental illness can be caused by number of causes like genetic causes, environmental causes and chemical imbalances in the brain. While mental retardation in the imbalance in normal development of the brain in an individual by which it can be categorized into mild Estimates of the prevalence of comorbidity of psychiatric disorders.

2.Mental illness can be described when behaviour of individuals is inappropriate, irrational, or unrealistic in most physical, or in mental illness the person’s behaviour is not normal. Mental disorder can be caused by physical, psychological or environmental factors, or a com- bination of all three. While mental illness is not level of intelligence, it is possible for a person to be both mentally ill and retarded
Umeenda kwingine. Nimezungumxia exceptionality.
Geneus ni exceptional sio mental ill.
Mental returded nae ni exceptional.
Middle hapo ndio kuna normal.
Ulitakiwa umalizie na exceptionality. Nimeenda kwenye dictionary .
 

Attachments

  • az_recorder_20240713_005839.jpg
    az_recorder_20240713_005839.jpg
    187 KB · Views: 1
  • az_recorder_20240713_005805.jpg
    az_recorder_20240713_005805.jpg
    242.4 KB · Views: 1
Miongoni mwa mambo ya maana katika hii dunia mbaya ya siku za mwisho ni Elimu. Kila mzazi anatamani kama mimi ninavyotamani wanangu wawe vichwa darasani katika masomo yao, lakini wengi, kama mimi pia tunaishia kutamani tu hasa tunapoona watoto wa wengine wakifanya maajabu katika masomo yao.

Kwangu mimi wanangu hawaendi nitakavyo, mimi pamoja na wanangu kusoma shule za binafsi, English mid. Anayejua siri ya watoto kufanya vizuri anipe wandugu.

Nimejitahodi kuwakazania kusoma na kuwasaidia mimi mwenyewe. Tuition za kufa mtu, vitabu nanunua. Wakifeli na fimbo wanapata, wakifaulu zawadi wanapata. Lakini sioni kufanya vizuri kule mimi ninakotaka, inaniuma sana.

NIFANYEJE
Wape uhuru Mkuu
 
Shida iko hapa mkuu,kutafsiri neno kucheza.

Kuna michezo ama matendo ambayo mtoto akiyafanya yanaikuza kwa haraka akili yake.

kuna yale matendo ya nyumbani ambayo mtoto akishiriki yanamkuza vizuri zaidi ubongo wake.

Sio kukimbizana tu shuleni na kuruka kwenye madawati ukadhani ndio akili itakuwa sharp kwa hiyo mixhezo hapana.
Unazijua factor zinazomfanya mtoto ajue kk mapema ?
 
Labda uingie kwenye ushirikina ucheze na nyota za watu. Hujawahi kuona mtu aliyekuwa mbumbu ila ana kazi kubwa inayohitaji taaluma?
 
Okay.

SIjajua hizo factora,je unaweza kutupa faida ya hizo factors ni zipi ?
Mojawapo ni ,
Mtoto kushika vitabu mapema.
Kuna mzungu mmoja anatengeneza content za math anasema" Mtoto ataweza kumasta maths ba kuwa hata geneus iwapo ataanza mapema zaidi kucheza na math patterns ".
Billgate aliweza kumastet computer kwa sababu alipewa vitabu na computer mapema sana. Language development huanza pale mtoto anapozaliwa tu.
Sababu zingine nitaziandika siku nyingine.
 
Chukua bamia zikatekate ziloweke masaa 24 wanyweshe watakua na akili balaa
 
Mojawapo ni ,
Mtoto kushika vitabu mapema.
Kuna mzungu mmoja anatengeneza content za math anasema" Mtoto ataweza kumasta maths ba kuwa hsta geneus iwapo ataanza mapema zaidi kucheza na math patterns ".
Billgate aliweza kumastet computer kwa sababu alipewa vitabu na computer mapema sana. Language development huanza pale mtoto anapozaliwa tu.
Sababu zingine nitaziandika siku nyinhine.
Nimekusoma mkuu na naunga mkono hoja yako kwamba mtoto aanzishwe vitu mapema,then akienda shule inakuwa mteremko.

Lakini pia nadhani jambo la msingi sana ni kuhakikiha mtoto anaelewa lugha kwa ufasaha akiwa bado mdogo,hii itamsaidia sana akatika kujifunza kwake.
 
Mojawapo ni ,
Mtoto kushika vitabu mapema.
Kuna mzungu mmoja anatengeneza content za math anasema" Mtoto ataweza kumasta maths ba kuwa hsta geneus iwapo ataanza mapema zaidi kucheza na math patterns ".
Billgate aliweza kumastet computer kwa sababu alipewa vitabu na computer mapema sana. Language development huanza pale mtoto anapozaliwa tu.
Sababu zingine nitaziandika siku nyinhine.
Nimekusoma mkuu na naunga mkono hoja yako kwamba mtoto aanzishwe vitu mapema,then akienda shule inakuwa mteremko.

Lakini pia nadhani jambo la msingi sana ni kuhakikiha mtoto anaelewa lugha kwa ufasaha akiwa bado mdogo,hii itamsaidia sana akatika kujifunza kwake
 
Nimekusoma mkuu na naunga mkono hoja yako kwamba mtoto aanzishwe vitu mapema,then akienda shule inakuwa mteremko.

Lakini pia nadhani jambo la msingi sana ni kuhakikiha mtoto anaelewa lugha kwa ufasaha akiwa bado mdogo,hii itamsaidia sana akatika kujifunza kwake
Sawa mkuu.
Ninayo project ya kufundisha lugha watoto wangu mimi, wanasoma kayumba kama utapenda unaweza ku subscribe my channel. Lakini nina chanel kwa ajili ya secondary na primary. Secondary focus ni masomo ya sayansi. Kama utapenda ntakurushia link.
Kwa msaada wa watoto, ufanyeje ili wawe na uwezo darasani unaweza kunifuata pm na naweza kukuanzishia special segment/ package kwenye chanel.
Hapa hatusemi kila kitu si mahala pake. Ukitaka kitaalam njoo pm. Teaching is my career.
Kwa kukushauri zaidi unaweza kuwaona walimu karibu nawe ila wale ambao ni serious.
 
Kama utaweza mkuu wajengee ratiba ya kulala mapema then uwe unawaamsha saatisa usiku unakaa nao mnafanya ibada na wanasoma kuanzia dk 40-60 wakishindwa kutoboa kwa viwango ujue hapo hakuna Mwalimu atawaweza.
Saa tisa usiku wasome kisha waende shule zetu hizi, utaua watoto mkuu, sio vita
 
Katika umri wa utoto walishe Samaki, Bilinganya na maziwa ya mtindi ya kutosha
 
Back
Top Bottom