Nifanyeje wanangu wawe na akili nyingi darasani

Mtoto wa miaka 4 ameisha develop language schemas hivyo anaweza kujifunza chocchote. Mtaala waTZ wenyewe ni cyclic hauna jopya.
Mkuu kibongobongo kumpeleka mtoto mapema shule bado ni ukatili kwa sababu shule zetu zinawarundikia watoto masomo ambayo hayakuzi il curiosiry yake.


Kwa wenzetu watoto shuleni kuna mazingira rafiki ya kujifunza kwa vitendo na bla bla haziwi kama hapa bongo.

Kwa bongo ni bora mtoto awe anacheza nyumbani na kushiriki michezo mbalimbali ya kumjenga akili mpaka afike hiyo mjaka 6 ndio aende shule,kuliko kumpeleka shule na miaka mi3 yaani shuleni ataenda kudumazwa akili.
 
Nashukuru Kwa kuwa umekiri kuwa tayari kujifunza. Mimi pia nimejifunza mambo kadhaa toka kwako.
Hata ivo, Bado naona Kuna asilimia zaidi ya hamsini ya akili Kiya akili za darasani kuwa genetically inherited.
K1. Nimeshuhudia watoto wawili waliozaliwa nje ya ndoa na baba msomi aliebobea mambo ya uchumi , kipindi hicho akiitumikia serikali kama mkurugenzi wa maendeleo ya mikoa Fulani nchini, . Hawa walikulia kijijini Kwa nbibi yao, mazingira yalikuwa duni sana. Malazi yalikuwa duni kiasi Cha wao kulala chini bila vitandikio vinavyoeleweka na pia nyumbani kwao palikiwa panapikwa pombe ya kienyeji na inanywewa hapo nyumbani. Bado Hawa jamaa walikuwa bipanga kuanzia shule ya msingi Hadi university of Dar es Salaam.
2. Mifano uliyoitoa inataja watoto waliokuwa vipanga wakafaulu katika mazingira magumu.
Hoja kwamba wazazi wao hawakusoma zaidi ya la Saba haliwezi kuthibotisha kwamba wazazi walikuwa vilaza.
Hapa twaona wazazi wao walikosa TU fursa ya elimu, vinginevyo wao pia wangekuwa vipanga.
.
 
Tanzania mtaala ni cyclic. Mambo ni yaleyale tu. Mtoto wa sec anarudia yale ya msingi. Huko shule wanacheza sana tu.
Mbona unawapeleka elimu awali au ile sio shule.
Nimekwambia kuna umri wa akili na mwili.
Waafrika hawataki kutumia elimu waliosomea. Mtoto nimempeleka elimu awali kamu du kusoma sasa kwa nini nisimuanzishe drs la kwanza? Mtoto wako hata kama ana miaka 10 kama hajui kusoma hafai kuanza drs la kwanza.
Endeleeni hivyo hivyo kufuata mazoea .
 
Wanarithi kwa baba na mama
Kama nyie ni vilaza msahau watoto wenu kua na akili nyingi
Daah hii sio kweli bhana % kubwa ya Wasomi wengi wazazi wao wamepata tabu ya kuwatafutia Ada wengine kwa pombe za kienyeji hata madaftari hawayajui ila watoto wao ndio walipasua sana mitihani...
 
Hoja kwamba wazazi wao hawakusoma zaidi ya la Saba haliwezi kuthibotisha kwamba wazazi walikuwa vilaza.
Mkuu unadhani kwa nini kutokusoma kwa wazazi sio hoja ya kuthibitisha ukilaza wa wazazi ?

Je wazazi ambao hawakuenda shule unawapima vipi kama wana akili ambayo pengine wangeenda shule wangekuwa vipanga ?

Hapa twaona wazazi wao walikosa TU fursa ya elimu, vinginevyo wao pia wangekuwa vipanga.
So mkuu unatumia kipimo gani kujua mzazi mwenye akili ambaye hakupita shule ?
 
Huko shule wanacheza sana tu.
Shida iko hapa mkuu,kutafsiri neno kucheza.

Kuna michezo ama matendo ambayo mtoto akiyafanya yanaikuza kwa haraka akili yake.

kuna yale matendo ya nyumbani ambayo mtoto akishiriki yanamkuza vizuri zaidi ubongo wake.

Sio kukimbizana tu shuleni na kuruka kwenye madawati ukadhani ndio akili itakuwa sharp kwa hiyo mixhezo hapana.
 
nakujibu kikulima

'ubora wa mazao hutegemeana na ubora wa mbegu iliyopandwa. suala la matunzo ya shamba ni sifa za ziada tu'
 
Isaya 55:13. Na watoto wako wote watafundishwa na BWANA. Na amani ya watoto wako itakuwa nyingi. Sema na Mungu juu ya fahamu na akili za watoto wako. Shetani siku zote yupo kwa ajili ulya kuharibu. Wakala wa shetani(mapepo ya kichawi) yanatumika sana kuteka na kuwafunga watoto wetu fahamu na akili zao. Omba kwa Imani kwa Jina la Yesu na watoto watafunguliwa na Kila mmoja atakuwa kichwa na Wala sio mkia darasani. Amen
 
Kuna mahala nilipata kusikia et,,pure juice ya matunda tufaa (apple) husaidia sana ukuaji na uimarikaji wa akili (ubongo) kwa mtoto hasa akianza itumia katika hatua za mapema za ukuaji wake.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Hii nadhani ni kwa watu wote. Sema ni namna gani ya hayo mazoezi mtu kuyafahamu na kuyafanyia mazoezi.
 
Hujataja watoto wako wana umri wa miaka mingapi?Utawezaje kusaidiwa?
 
Hii nadhani sio kwa
Ukitaka kuwa na watoto vipanga darasani hakikisha unaoa mke kipanga haswa.Yaani mkeo awe mwerevu Kweli Kweli.

Then hakikisha watoto wako hawali ugali kbsa coz Ni chakula kinachodumaza akili.
duh hii nadhani ni utwezaji kwa wala ugali. Hawa vipanga wote tunaowajua mbona walaji wa ugali toka watoto.
 
Mkuu ahsante Kwa maswali mazuri.
NHakuna kipimo Cha kuthibotisha kwamba mzazi asiesoma angekuwa kipanga iwapo angepata nafasi, kadhalika hakuna kipimo kuthibotisha kwamba mzazi hiyo angekuwa kilaza
.
Aghalabu watoto wake wakiwa vipanga , tunaona jinsi mzazi huyu ambaye hakusoma anavyotumia akili yake ku - mobilize ukipanga wa watoto wake.
akupita shule ?kuu
 
mkuu pole kwanza kwa safari nzuri ya malezi ila kuna mambo unatakiwa uzi gatia kabla na baada ya kupata mtoto..
tuanze na kabla hujapata mtoto mtindo wa maisha matumizi ya vileo kula na pumziko je vilikua vinawiana huwezi toka kulewa ukaweka mzigo utarajie mtoto atatoka kichwa ni kwa bahati sana ila wengi huwa kawaida tu kupata D na F hawashangai....

lishe bora mtindo sahihi wa maisha na muda wa kuupumzisha mwili vinamchango mkubwa kwenye kujenga mbegu bora zitakazoweza kukupa mtoto safi upstairs.

baada ya kupata mtoto hapa ndipo balaaa lilipo je ulimzingatia lishe sahihi toka akiwa mtoto au uliwasikiliza manesi wale wa kusema mtoto anyonye maziwa ya mama tu mpka miezi 6..... unajiuliza kwani mama ni muathirika? kawaida hata mimi mwanangu akishobokea chakula hata akiwa na miezi miwili analamba mtori laini michuzi na sijawahi pata usumbufu wa kuumwa lwala nini, hivyo chakula ni tiba kubwa sana toka akiwa mfogo asikose supu za samaki mafuta ya samaki vitamin c asizikose kwenye machungwa na vitu kama hivyo ale vitunguu maboga na mimea ya kunde na nyama pia zisimpige chenga tafuta nyama nzuri chemsha blendi supu na nyama mpe ale.
uji wa mtoto uwe wa nafaka changanya kila kitu mchele mtama ulezi soya yaani pata mchanganyiko wenye virutubisho kama vyote usibane pesa.

kiufupi mkuu watoto wanarithi akili kwa wazazi ila kuna mazingira ukiyaweka yanawaboost akili zao zilizolala

ukiona umefuata yote hayo kwa usahihi na toto bado zezeta basi pole sana asee utakua umecheza nafasi yako sasa mchunguze mama malezi yake yakoje maana mtoto akiwa na mama mjinga lazima naye awe mjinga
 
Ukitaka kuwa na watoto vipanga darasani hakikisha unaoa mke kipanga haswa.Yaani mkeo awe mwerevu Kweli Kweli.

Then hakikisha watoto wako hawali ugali kbsa coz Ni chakula kinachodumaza akili.
mkuu tumekula ugali toka utoto wetu labda useme kuwe na ratiba nzuri ya lishe ugali usirudiwe sana kama ilivyo kwa chips wali vibadilishwe isiwe mfululizo
 
Akili unaenda nazo shuleni mkuu, akili hazipatikani shuleni, itachukua miaka 100 wabongo kuelewa hili
 
Mental retarded person na mental ill prson hawa ni watu wawili tofauti.

Mental illness and mental retardation are completely two different terms and with two different concepts in them and cannot be used interchangeably.
1 Mental illness can be caused by number of causes like genetic causes, environmental causes and chemical imbalances in the brain. While mental retardation in the imbalance in normal development of the brain in an individual by which it can be categorized into mild Estimates of the prevalence of comorbidity of psychiatric disorders.

2.Mental illness can be described when behaviour of individuals is inappropriate, irrational, or unrealistic in most physical, or in mental illness the person’s behaviour is not normal. Mental disorder can be caused by physical, psychological or environmental factors, or a com- bination of all three. While mental illness is not level of intelligence, it is possible for a person to be both mentally ill and retarded
 
Mkuu nadhani unachoita akili nyingi ni memory, concatenation and Focus
At least kila siku ale
1.Nuts hasa almost (punje 4 kwa siku)
2.Berries, Grapes na Apple,Parachichi na matunda yenye vitamin C
3.Mafuta ya samaki
4.Chai ya Rangi/Kahawa ukichanganya mdalasini na Rosemary angalau mara 3 kwa siku
5.kijiko kimoja cha chai mafuta ya Olive oil Extra Virgin kwenye maji ya moto anywe asubuhi kabla ya kula chochote
6.Mboga za majani hasa spinach sio Chinese, kale n.k
7.Ugali wa unga wa ngano, mtama na uwele
Fanyia kazi Kwanza hivyo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…