Nifanyeje wanangu wawe na akili nyingi darasani

Kabisa
 
I
Umeenda kwingine. Nimezungumxia exceptionality.
Geneus ni exceptional sio mental ill.
Mental returded nae ni exceptional.
Middle hapo ndio kuna normal.
Ulitakiwa umalizie na exceptionality. Nimeenda kwenye dictionary .
 

Attachments

  • az_recorder_20240713_005839.jpg
    187 KB · Views: 1
  • az_recorder_20240713_005805.jpg
    242.4 KB · Views: 1
Wape uhuru Mkuu
 
Unazijua factor zinazomfanya mtoto ajue kk mapema ?
 
Labda uingie kwenye ushirikina ucheze na nyota za watu. Hujawahi kuona mtu aliyekuwa mbumbu ila ana kazi kubwa inayohitaji taaluma?
 
Okay.

SIjajua hizo factora,je unaweza kutupa faida ya hizo factors ni zipi ?
Mojawapo ni ,
Mtoto kushika vitabu mapema.
Kuna mzungu mmoja anatengeneza content za math anasema" Mtoto ataweza kumasta maths ba kuwa hata geneus iwapo ataanza mapema zaidi kucheza na math patterns ".
Billgate aliweza kumastet computer kwa sababu alipewa vitabu na computer mapema sana. Language development huanza pale mtoto anapozaliwa tu.
Sababu zingine nitaziandika siku nyingine.
 
Chukua bamia zikatekate ziloweke masaa 24 wanyweshe watakua na akili balaa
 
Nimekusoma mkuu na naunga mkono hoja yako kwamba mtoto aanzishwe vitu mapema,then akienda shule inakuwa mteremko.

Lakini pia nadhani jambo la msingi sana ni kuhakikiha mtoto anaelewa lugha kwa ufasaha akiwa bado mdogo,hii itamsaidia sana akatika kujifunza kwake.
 
Nimekusoma mkuu na naunga mkono hoja yako kwamba mtoto aanzishwe vitu mapema,then akienda shule inakuwa mteremko.

Lakini pia nadhani jambo la msingi sana ni kuhakikiha mtoto anaelewa lugha kwa ufasaha akiwa bado mdogo,hii itamsaidia sana akatika kujifunza kwake
 
Sawa mkuu.
Ninayo project ya kufundisha lugha watoto wangu mimi, wanasoma kayumba kama utapenda unaweza ku subscribe my channel. Lakini nina chanel kwa ajili ya secondary na primary. Secondary focus ni masomo ya sayansi. Kama utapenda ntakurushia link.
Kwa msaada wa watoto, ufanyeje ili wawe na uwezo darasani unaweza kunifuata pm na naweza kukuanzishia special segment/ package kwenye chanel.
Hapa hatusemi kila kitu si mahala pake. Ukitaka kitaalam njoo pm. Teaching is my career.
Kwa kukushauri zaidi unaweza kuwaona walimu karibu nawe ila wale ambao ni serious.
 
Kama utaweza mkuu wajengee ratiba ya kulala mapema then uwe unawaamsha saatisa usiku unakaa nao mnafanya ibada na wanasoma kuanzia dk 40-60 wakishindwa kutoboa kwa viwango ujue hapo hakuna Mwalimu atawaweza.
Saa tisa usiku wasome kisha waende shule zetu hizi, utaua watoto mkuu, sio vita
 
Katika umri wa utoto walishe Samaki, Bilinganya na maziwa ya mtindi ya kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…