Nifanyeje wanangu wawe na akili nyingi darasani

Kuweka ratiba ya kusoma jioni au usiku angalau nusu saa Tu kila siku. Hata kwa watu ambao hawasomi nao washiriki zoezi hilo inajenga sana esp mtoto akikuwa na hiyo tabia ya kujisomea. Enzi zetu tukiwa wadogo wazazi walikuwa na home library huwezi kukosa cha kusoma. Wewe utashika daftari lako yeye na wengine watashika kitabu chochote. Jiulize nani anafanya hili era hizi? Kama mzazi nunua hata atlas kubwa siku moja moja unakaa na mtoto wako unacheza hata kimchezo Tu unataka mji, mto, mlima etc dogo anatafuta mpaka aupate then unampigia story chache kuhusu hilo eneo au kitu hicho. Hawezi kusahau Kamwe. Ndo zilizotujenga Sisi
 
Watoto huchukua toka kweny wazazi lakini uwezekano wa kubadili hilo kuptia Tiba Lishe tangu wakiwa watoto ingewezekana sio sasa wakiwa washakomaaa.

Utapiga uwaue sasa hv akili yao ni waamue wenyewe. Wapo kwenye stage ambayo n ile kama unataka muachisha madawa ya kulevya mtu mzima lazima aamue na adhamirie kuacha ila asipoamua mwenyewe hawezi kuacha.

Akili ya mtoto inaanza tengenezwaa tangu akiwa tumboni kuptia misosi ya mama na baada ya kuzaliwa miaka mi 3 ya mwanzo.

Tangu anapoanza fungua macho kutambaa kuongeaaa,nk

Tunasema MSINGI wa akli ya watoto wetu ambao sisi wazazi ni vilaza unaanza angali hajitambui.
 
Mtoto wako umeanza mfundisha mambo ya darasani akiwa na miaka mi 4 unategemea upate mtoto mwenye akili... kama mtoto anaweza ita BABA akiwa na 1 year kwann usimfundshe vitu vya darasani akifika 1year anavijua kuvitamka hata.

Wazazi mmekazana wafundisha watoto kusema BABAAAAA MAMAAAAA DADAAAA haya aende akajibu baba na mama buko darasani sasa
 
You are what you eat......Mlishe Vyakula vya protein - Samaki na "KILKI" kwa wingi.

Mazingira...Mumjengee mazingira ya kuwa na akili....Mumfundishe kuwa na akili.
 
Namna pekee ya kumfanya mtu afanye unachokitaka akifanye ni kumfanya atake kufanya unachokitaka akifanye huku akiamini kuwa huo ni uamuzi wake binafsi na si matakwa yako.

Soma kitabu cha Dale Carnegie, itakusaidia sana katika hilo. Nimekuambatanishia na kitabu tajwa.

Na kwamba mwanao ana akili jibu ni ndiyo. Tafiti za Kisaikolojia zinaonesha kuwa watoto wanaofanya vizuri sana kitaaluma, wengine huwaita magenius, siyo kwamba wana akili sana, bali wamebahatika kulelewa na watu ambao waliwaaminisha kuwa wana akili sana, nao wakaishia kuwa vile walivyoaminishwa.
 

Attachments

Mkuu unajisifu ww ni kipanga sio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…