monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,256
- 11,377
Sawa mkuuu hiyo sehemu naifahamu nilitaka nihakikishe tu
All the best
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuuu hiyo sehemu naifahamu nilitaka nihakikishe tu
safi sana kiongozi itakua vyema pia ukitupa mchanganuo wa gharama ili tujifunze zaidiZoezi la kusambaza samadi shambani likiendelea.Baada ya hapo litafuata zoezi la kupanda mahindi. Mbegu nilizopanga kupanda ni DK 777 na SeedCo Tembo 719. Pamoja wakuu tuendelee kupambana.View attachment 2832021View attachment 2832022View attachment 2832023View attachment 2832024
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Hayo mazao yanalimwa nchi nzima, kuna baadhi ya maeneo unakuta mtoto wa darasa la 3 ana shamba lake la mahindi na kafuata kanuni zote,ukiona hadi leo kuna mtu hajui mahindi yanalimwa vipi na yanatunzwa vipi huyo sio mkulima ni wale wakulima wa mwendo kasi wako kwenye AC wanalima kimawazoMsimu huu wa kilimo ntakua natoa maelezo ya kitaalamu na picha live toka shambani kwa vitendo kuanzia kuaandaa shamba, kuchagua mbegu, kupanda, kuzuia wadudu na magonjwa, mbolea, kupalilia hadi kuvuna endelea kunifatilia.
Mkuu kuna kulima na kupanda. Watanzania wengi wanapanda mahindi sina haja ya kukuwekea picha. Zunguka mashambani ujionee ukulima uliopitwa na wakati.Hayo mazao yanalimwa nchi nzima, kuna baadhi ya maeneo unakuta mtoto wa darasa la 3 ana shamba lake la mahindi na kafuata kanuni zote,ukiona hadi leo kuna mtu hajui mahindi yanalimwa vipi na yanatunzwa vipi huyo sio mkulima ni wale wakulima wa mwendo kasi wako kwenye AC wanalima kimawazo
Ile dawa ya wadudu wanaotoboa majani ya wadudu inaitwaje? Inawekwa muda gani baada ya kuotesha?Zoezi la kusambaza samadi shambani likiendelea.Baada ya hapo litafuata zoezi la kupanda mahindi. Mbegu nilizopanga kupanda ni DK 777 na SeedCo Tembo 719. Pamoja wakuu tuendelee kupambana.View attachment 2832021View attachment 2832022View attachment 2832023View attachment 2832024
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Tupe somo la kupata hizo gunia 35 mkuu.Mkuu kuna kulima na kupanda. Watanzania wengi wanapanda mahindi sina haja ya kukuwekea picha. Zunguka mashambani ujionee ukulima uliopitwa na wakati.
Nakwambia wakulima wangelima kisasa umasikini TZ tungeisha uaga.
Kuna mwalimu wa mkenya ambae amewekeza kulima kilimo cha kisasa HUVUNA GUNIA 35 KWA HEKA 1.
Njoo kwetu je wakulima wetu wanafikisha hata gunia 20 kwa heka ? Wakijitahidi 15.
Nimejifunza formula za huyo mkenya, analima tofauti na sisi.
Kwa hio usirudie kusema eti kila mtu anajua kulima mahindi sema kila mtu anajua kupanda mahindi. Kupanda ni simple tu, unachimba shimo unaweka mbegu unasubiri mavuno, hao ndio wakulima wa TZ.
Ruzuku 73,200/=Mkuu bei ya mbolea ya YARA MILA (YARA) IPO JE KWA HAPO IRINGA?
Mkuu mpaka ntakapo lifanya practically nikifailu nitadocument na video na kuwauzia.Tupe somo la kupata hizo gunia 35 mkuu.
Safi mkuuWakuu natoa mrejesho km kawaida. Hapa ndipo yalipofikia mahindi,nilipandia samadi tu bila mbolea yoyote. Wiki ijayo naweka mbolea ya CAN shughuli inakua imeisha. Picha ya kwanza ni jinsi mahindi yalivyokuwa wiki ya pili toka kuota. Na hizo picha zingine ndo yalivyo sasa.Mungu ni mwemaView attachment 2877783View attachment 2877784View attachment 2877789View attachment 2877791View attachment 2877793
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Safi mkuuMsimu huu wa kilimo ntakua natoa maelezo ya kitaalamu na picha live toka shambani kwa vitendo kuanzia kuaandaa shamba, kuchagua mbegu, kupanda, kuzuia wadudu na magonjwa, mbolea, kupalilia hadi kuvuna endelea kunifatilia.