Nifatilie toka shambani kilimo cha mahindi, maharage na alizeti hatua kwa hatua

Wakuu Kwa shamba jipya la mahindi waeza pandia mbolea ya npk bila samadi
 
Jamani km kawaida nimerudi tena kutoa mrejesho live kutoka shambani. Hiyo ni Tembo 719,nimeipanda tarehe 12-12-2023. Pia sehemu ingine kwa mbali kidogo nimepanda DK 777 na Panar 691.Lengo la kupanda mbegu zote 3 ni kutaka kujifunza uzuri na mapungufu ya kila mbegu. Nmepanga pia kupanda maharage humo humo shambani( intercroping) baada ya sikukuu. Karibuni kwa maswali,au maoni.View attachment 2851998View attachment 2851999View attachment 2852000View attachment 2852002

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Hindi Moja Moja mkuu!
 
Wakuu Kwa shamba jipya la mahindi waeza pandia mbolea ya npk bila samadi
Kwa kifupi samadi ni muhimu kwenye shamba lolote uwe unapandia pamoja na mbolea za dukani ama laa! Japo km samadi ni nyingi naya kutosha hakuna haja ya kuongeza gharama za uzalishaji kwa kununua tena mbolea za viwandani.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Wakuu Kwa shamba jipya la mahindi waeza pandia mbolea ya npk bila samadi
Yeap unaweza coz kwenye upandaji wa mahindi kitu muhimu ni madini ya phosphorous ambayo yanapatikana kwenye NPK ingawa kwenye DAP au Yaramilla otesha ndo kuna kiwango kikubwa cha phosphorous.

pia jivu linaaminika kuwa na kiwango kikubwa cha phosphorous nod main pia inashauriwa kabla hujapanda unaweza kuchoma pumba shambani kisha ukapanda.
 
Tumia CAN
Thanks mkuu, niliweka CAN, na baada ya wiki 1 nilispray booster flan ambayo ina nitrogen 15% nilichaganya na dawa ya kuua wadudu. Then nikaanza palizi ya pili bila kuchelewa. Mahindi yamebadilika sana, kile kijani kimeonekana kwenye majani na ule unjano umeondoka, wadudu wameisha na yamekua kwa kasi. Saiv nikienda shambani natamani nilale humohumo.
 
Yani ukilima mahindi halafu ukawa huna hela mahindi ndo yatakutambulisha
Picha linaanza yanakua hayarefuki haraka sababu hamna mbolea

Then yanaanza kuwa ya njano
Af yanakua weak hivi af mafupi

Majani yanakuja kwa kasi kumaliza mchezo
Ukienda shambani unatamani uwe kipofu😂
 
Ni kweli mkuu,, kama huna hela kwenye kilimo ni shida. Coz hata kama una nguvu za kulima kwa mkono ila utahitaji pesa ya kununua mbolea na dawa za wadudu.

Kuna majirani zangu wananiona mchawi😛
 
Hio pumba
Yeap unaweza coz kwenye upandaji wa mahindi kitu muhimu ni madini ya phosphorous ambayo yanapatikana kwenye NPK ingawa kwenye DAP au Yaramilla otesha ndo kuna kiwango kikubwa cha phosphorous.

pia jivu linaaminika kuwa na kiwango kikubwa cha phosphorous nod main pia inashauriwa kabla hujapanda unaweza kuchoma pumba shambani kisha ukapanda.
Ukichoma nyasi za shamba itakua ni sawa Na kuchoma pumba ?
 
Hio pumba

Ukichoma nyasi za shamba itakua ni sawa Na kuchoma pumba ?
Yeah ni sawa. Muhimu ni jivu lipatikane. Naonaga kwenye mpunga, ile sehemu waliyopigia mpunga, yale mabaki huwa yanachomwa na mpunga ukipandwa hapo unastawi sana.
 
Nimeona mdau anazungumzia mchwa . Mbali na hiyo dragnet pia unaweza kutumia chlopyrifos 480 ec inafanya vizuri Kwa mchwa na awaleti uharibifu dozi ni 100ml Kwa 20lt za maji na dawa hii Lita 1 ni elfu 20 hii watanzania wengi wanaweza imudu na inakaa kwenye udongo at least miezi 4 hadi 6
Pamoja mkuu
 
Wakuu poleni na mihangaiko ya maisha. Kwanza niwaombe radhi kwa kutoweka kwa kipindi kirefu. Wakati nikiendelea na harakati za shamba unfortunately nilipoteza simu yangu janja. Kama mnavyojua tena msimu wa kilimo pesa huwa ngumu hivyo sikuweza ku-replace simu ingine on the spot. Luckily nimeweza kupata simu ila nimetumia Acc.yangu ya zamani inayoenda kwa jina la Abby Newton kutokana na Ile ya Kamgomoli kunigomea ila naendelea kujitahidi kukumbuka password yake. Namshukuru Mungu mavuno si haba. Within two weeks ahead ntaanza kuvuna mahindi. Maharage nilisha vuna na mavuno si haba. Mahindi nililima ekari 2.5 na natarajia kuvuna gunia 50+. despite mvua kuzidi. Punde ntarusha picha nikivuna na kupigapiga/kupukuchua kwa mashine nikiwa shamba. See you soon guys.
 
Matarajio ya maharage ni kuvuna kias gan kwa hekari mkuu na umelima heka ngap
 
Tuna subiri huo mrejesho wa nguvu
Wakuu poleni na mihangaiko ya maisha. Kwanza niwaombe radhi kwa kutoweka kwa kipindi kirefu. Wakati nikiendelea na harakati za shamba unfortunately nilipoteza simu yangu janja. Kama mnavyojua tena msimu wa kilimo pesa huwa ngumu hivyo sikuweza ku-replace simu ingine on the spot. Luckily nimeweza kupata simu ila nimetumia Acc.yangu ya zamani inayoenda kwa jina la Abby Newton kutokana na Ile ya Kamgomoli kunigomea ila naendelea kujitahidi kukumbuka password yake. Namshukuru Mungu mavuno si haba. Within two weeks ahead ntaanza kuvuna mahindi. Maharage nilisha vuna na mavuno si haba. Mahindi nililima ekari 2.5 na natarajia kuvuna gunia 50+. despite mvua kuzidi. Punde ntarusha picha nikivuna na kupigapiga/kupukuchua kwa mashine nikiwa shamba. See you soon guys.
 
Hayo mazao yanalimwa nchi nzima, kuna baadhi ya maeneo unakuta mtoto wa darasa la 3 ana shamba lake la mahindi na kafuata kanuni zote,ukiona hadi leo kuna mtu hajui mahindi yanalimwa vipi na yanatunzwa vipi huyo sio mkulima ni wale wakulima wa mwendo kasi wako kwenye AC wanalima kimawazo
Kuna aina mbili za kilimo, kilimo mazoea na kilimo tija .
 
Excellence......

Yani huku JF kuna watu hatuwajui Wala sio ndugu zetu na Wala hawaringi...

Tunashukuru kwa kuwa walimu wa kujitolea kwa muda na kwa vitendo pia. Mwenyenzi Mungu azidi kuwafanyia wepesi katika kazi za mikono yenu ili nà sisi tunaotafuta maarifa kwa vitendo siku Moja tufanikiwe kupitia muda na juhudi zenu za kutuamini na kuwekeza maarifa kwetu.....
 
Wakuu poleni na mihangaiko ya maisha. Kwanza niwaombe radhi kwa kutoweka kwa kipindi kirefu. Wakati nikiendelea na harakati za shamba unfortunately nilipoteza simu yangu janja. Kama mnavyojua tena msimu wa kilimo pesa huwa ngumu hivyo sikuweza ku-replace simu ingine on the spot. Luckily nimeweza kupata simu ila nimetumia Acc.yangu ya zamani inayoenda kwa jina la Abby Newton kutokana na Ile ya Kamgomoli kunigomea ila naendelea kujitahidi kukumbuka password yake. Namshukuru Mungu mavuno si haba. Within two weeks ahead ntaanza kuvuna mahindi. Maharage nilisha vuna na mavuno si haba. Mahindi nililima ekari 2.5 na natarajia kuvuna gunia 50+. despite mvua kuzidi. Punde ntarusha picha nikivuna na kupigapiga/kupukuchua kwa mashine nikiwa shamba. See you soon guys.
Oya mwanetu simu umepoteza tena! Tunasubiri mrejesho.
 
Mrejesho.
 
Back
Top Bottom