Nifatilie toka shambani kilimo cha mahindi, maharage na alizeti hatua kwa hatua

Msimu huu wa kilimo ntakua natoa maelezo ya kitaalamu na picha live toka shambani kwa vitendo kuanzia kuaandaa shamba, kuchagua mbegu, kupanda, kuzuia wadudu na magonjwa, mbolea, kupalilia hadi kuvuna endelea kunifatilia.
Mkuu shusha nondoo
 
Mkuu heshima kwako, kwa shamba kama ni kubwa mfano Ekari 50 na kama eneo lililopo hakuna ng'ombe wa kutosha unawekaje mbolea kwa shamba la mfano huo...?
 
Weka Elimu na mbinu anazotumia
 
Shamba lako kitakuwa zuri yaani,samadi ikuze mahindi vizuri hivyo?
 
Weka Elimu na mbinu anazotumia
Mnapenda vya bure. Kuna elimu ya bure. Tafiti mtandaoni utaipata, mie nilitafiti sasa wewe unataka energy yangu nure ukawe tajiri. Kwa sasa sintaweka kitu cha manufaa bure hapa ispokuwa porojo. Pirojo nitachangia bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…