Kalamu- karamuPole sana
...kalamu ishaliwa!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Khaaaaa kaka utawaua raia,sio kwa kunipamba hivi!Kwa ' Shemela ' la Kilimanjaro Nifah huyo uliyemtaja ' anasubiri ' Mkuu. Ukiona Kitu hadi GENTAMYCINE anakisifia basi jua hata kwa Mwenyezi Mungu kimeshapitishwa na kubarikiwa. JF Mwanamke ' Mnyange / Mrembo ' ni Nifah peke yake na waliobaki ni ' Makatuni ' tupu hutaki ' Kajiteke ' mwenyewe Ununio kisha ' Jitese ' halafu tuje tukuokote Mahaba beach.
Tafadhali mkuu wengine tunaweza kuwa ma miss East Africa humu.
Mkuu tutake radhi. Warembi wengi huku hujapata nafasi ya kukutana nasi live tu.
Wapendwa,huu ni utani tu. Msikasirike kwa kuchukulia hili serioud.Kwa kuwa nilikubebea mkaa wako sitabisha.
Hakika shemeji,Alhamdulillah [emoji120]Shemeji kweli mwenye nacho huongezewa.
Asante shemeji,ila umetumia fumbo ambalo ni mwenye akili kubwa pekee ataling'amua [emoji119] [emoji23]Yote mimi namjua kwa sura na tabia, hata wewe siku ukipata bahati ya kumuona hutokua na shaka juu ya urembo wake, labda tu akili yako iendane na Kipozeo kwenye kuangalia uzuri wa mwanamke.
Yeah [emoji4]Shemejiiii...!! Niffah ni real name
Chuki ni mbaya sana mkuu , au tuambie ulishawahi kumuona?anavigimbi huyo hatari
mwembamba mpaka mkoba wake ameujaza mawe upepo ukija asipeperuke
jk
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Khaaaaa kaka utawaua raia,sio kwa kunipamba hivi!
Hahahahaha lol sio kwa jibu hilo nmejikuta nacheka pekee yanguToka hapa! Mtu hujui hata kuandika stori ya Sungura na fisi ungemshindaje jiniaz The Bold? Shem anapendaga watu wa talent za aina ile mkuu!
Mpenzi Wii...achana nae huyo,hii ndio JF sehemu ambayo mtu 'anakujua' kuliko unavyojijua [emoji4]Chuki ni mbaya sana mkuu , au tuambie ulishawahi kumuona?
Hahahaaaaaa haki sio kwa kunipamba huku.Sasa Dada yangu kwani uwongo kuwa Wewe ni Mnyange / Mrembo wa kweli? Acha tukusifie bhana kwani Mwenyezi Mungu alituliza sana akili wakati ' akikuumba ' huko Mbinguni huku wengine ( wale Wabaya / Magari ya Mikaa ) aliwaumba akiwa ' kajichokea ' zake.
Wewe ' Mtoto ' una bahati sana na Mimi yaani hadi nakusifia na nakupamba hivi! Hakyanani huyo ' Kigagula ' uliyemwendea na kumwambia anipige ' Kipapai ' ili ' nikukubali ' nenda kamwambie aongeze ' dozi '. Oya The bold hiyo ' Ndafu ' inaliwa lini Kijana? Angalia chelewa chelewa utakuta mwana si wako Mkuu. Huyo Demu uliyenaye na hivyo alivyo cute kama siyo pretty hana tofauti sana na ' Almasi ' ya Mji wa Katanga huko DRC ambayo inatakiwa na kugombaniwa na Mataifa yote ' Tajiri ' duniani.
Fanya ' fasta ' umuoe tafadhali tujue moja kuliko ' kudindishana ' tu humu kila siku.
Hahahaaa nilikuona mkuu na gobole lako pale, ukifyatua risasi inatoka baada ya DKK 5[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aisee!! Sijui nikupe pole au nisemeje... Nadhani labda ni sahihi zaidi nikikupa hongera kwa hatimaye kujitutumua na kutoa kilichopo moyoni... Ndio uanaume
Nifah ni mwanamke wa kipekee kwa hiyo sishangai kwanini aliuteka moyo wako bila hata ya yeye mwenyewe kujua! Ni mwanamke ambaye kama mwanaume unajivunia kuwa naye na hata ukiwa kwenye hadhara lazima 'uvimbe' coz yuko ubavuni kwako...
So, no hard feelings here ndugu yangu! Nimeelewa... Ila nikukumbushe tu kuwa last month nilikuwa kwa Kamanda Sirro pale nimetoka ku-renew kibali cha kumiliki silaha... Kwa hiyo watch it, not to that extent [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaha jaman Yesu wangu wacha mie niongeze siku za kuishi taratibu mkuu warembo watakupopoa na maweTena Wewe ndiyo unaonyesha ni ' Gari ya Mkaa ' iliyotukuka kabisa.
Vp kale kakibanda kenu pale jangwani hakajauzwa tu?Hahahaaaaaa yani kaka yangu tokea ujue mimi ni Yanga umenimind sana.
Matokeo ya Simba...bahati yenu,subiri kesho wanaume washuke dimbani [emoji123]
Achana nao wiiiii ilimradi anayekupenda hajakwambia hvyo enjoy bwana, ila watu basi tuMpenzi Wii...achana nae huyo,hii ndio JF sehemu ambayo mtu 'anakujua' kuliko unavyojijua [emoji4]
Hahahaaaaaa haki sio kwa kunipamba huku.
Asante broh,umekuwa mtu mwema kwangu miaka yote hii,Asante.
Hahahaha jaman Yesu wangu wacha mie niongeze siku za kuishi taratibu mkuu warembo watakupopoa na mawe
Wacha mikwara bold.... Ongeza karifundi kwa nifah.... Hio bastola watu hawaogopi siku hizi... Kuna bullet proof. Ha ha ha ha ha ha ha ha ha..... Nyakuzi hilo.Aisee!! Sijui nikupe pole au nisemeje... Nadhani labda ni sahihi zaidi nikikupa hongera kwa hatimaye kujitutumua na kutoa kilichopo moyoni... Ndio uanaume
Nifah ni mwanamke wa kipekee kwa hiyo sishangai kwanini aliuteka moyo wako bila hata ya yeye mwenyewe kujua! Ni mwanamke ambaye kama mwanaume unajivunia kuwa naye na hata ukiwa kwenye hadhara lazima 'uvimbe' coz yuko ubavuni kwako...
So, no hard feelings here ndugu yangu! Nimeelewa... Ila nikukumbushe tu kuwa last month nilikuwa kwa Kamanda Sirro pale nimetoka ku-renew kibali cha kumiliki silaha... Kwa hiyo watch it, not to that extent [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]