Niffah; msema kweli mpenzi wa Mungu

Niffah; msema kweli mpenzi wa Mungu

Kwa ' Shemela ' la Kilimanjaro Nifah huyo uliyemtaja ' anasubiri ' Mkuu. Ukiona Kitu hadi GENTAMYCINE anakisifia basi jua hata kwa Mwenyezi Mungu kimeshapitishwa na kubarikiwa. JF Mwanamke ' Mnyange / Mrembo ' ni Nifah peke yake na waliobaki ni ' Makatuni ' tupu hutaki ' Kajiteke ' mwenyewe Ununio kisha ' Jitese ' halafu tuje tukuokote Mahaba beach.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Khaaaaa kaka utawaua raia,sio kwa kunipamba hivi!
 
Yote mimi namjua kwa sura na tabia, hata wewe siku ukipata bahati ya kumuona hutokua na shaka juu ya urembo wake, labda tu akili yako iendane na Kipozeo kwenye kuangalia uzuri wa mwanamke.
Asante shemeji,ila umetumia fumbo ambalo ni mwenye akili kubwa pekee ataling'amua [emoji119] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Khaaaaa kaka utawaua raia,sio kwa kunipamba hivi!

Sasa Dada yangu kwani uwongo kuwa Wewe ni Mnyange / Mrembo wa kweli? Acha tukusifie bhana kwani Mwenyezi Mungu alituliza sana akili wakati ' akikuumba ' huko Mbinguni huku wengine ( wale Wabaya / Magari ya Mikaa ) aliwaumba akiwa ' kajichokea ' zake.

Wewe ' Mtoto ' una bahati sana na Mimi yaani hadi nakusifia na nakupamba hivi! Hakyanani huyo ' Kigagula ' uliyemwendea na kumwambia anipige ' Kipapai ' ili ' nikukubali ' nenda kamwambie aongeze ' dozi '. Oya The bold hiyo ' Ndafu ' inaliwa lini Kijana? Angalia chelewa chelewa utakuta mwana si wako Mkuu. Huyo Demu uliyenaye na hivyo alivyo cute kama siyo pretty hana tofauti sana na ' Almasi ' ya Mji wa Katanga huko DRC ambayo inatakiwa na kugombaniwa na Mataifa yote ' Tajiri ' duniani.

Fanya ' fasta ' umuoe tafadhali tujue moja kuliko ' kudindishana ' tu humu kila siku.
 
Toka hapa! Mtu hujui hata kuandika stori ya Sungura na fisi ungemshindaje jiniaz The Bold? Shem anapendaga watu wa talent za aina ile mkuu!
Hahahahaha lol sio kwa jibu hilo nmejikuta nacheka pekee yangu
 
Sasa Dada yangu kwani uwongo kuwa Wewe ni Mnyange / Mrembo wa kweli? Acha tukusifie bhana kwani Mwenyezi Mungu alituliza sana akili wakati ' akikuumba ' huko Mbinguni huku wengine ( wale Wabaya / Magari ya Mikaa ) aliwaumba akiwa ' kajichokea ' zake.

Wewe ' Mtoto ' una bahati sana na Mimi yaani hadi nakusifia na nakupamba hivi! Hakyanani huyo ' Kigagula ' uliyemwendea na kumwambia anipige ' Kipapai ' ili ' nikukubali ' nenda kamwambie aongeze ' dozi '. Oya The bold hiyo ' Ndafu ' inaliwa lini Kijana? Angalia chelewa chelewa utakuta mwana si wako Mkuu. Huyo Demu uliyenaye na hivyo alivyo cute kama siyo pretty hana tofauti sana na ' Almasi ' ya Mji wa Katanga huko DRC ambayo inatakiwa na kugombaniwa na Mataifa yote ' Tajiri ' duniani.

Fanya ' fasta ' umuoe tafadhali tujue moja kuliko ' kudindishana ' tu humu kila siku.
Hahahaaaaaa haki sio kwa kunipamba huku.
Asante broh,umekuwa mtu mwema kwangu miaka yote hii,Asante.
 
Aisee!! Sijui nikupe pole au nisemeje... Nadhani labda ni sahihi zaidi nikikupa hongera kwa hatimaye kujitutumua na kutoa kilichopo moyoni... Ndio uanaume

Nifah ni mwanamke wa kipekee kwa hiyo sishangai kwanini aliuteka moyo wako bila hata ya yeye mwenyewe kujua! Ni mwanamke ambaye kama mwanaume unajivunia kuwa naye na hata ukiwa kwenye hadhara lazima 'uvimbe' coz yuko ubavuni kwako...

So, no hard feelings here ndugu yangu! Nimeelewa... Ila nikukumbushe tu kuwa last month nilikuwa kwa Kamanda Sirro pale nimetoka ku-renew kibali cha kumiliki silaha... Kwa hiyo watch it, not to that extent [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaaa nilikuona mkuu na gobole lako pale, ukifyatua risasi inatoka baada ya DKK 5[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ni udhaifu mkubwa sana mwanaume kutokuwa na kifua cha kutunza mambo yako
 
Hahahaaaaaa yani kaka yangu tokea ujue mimi ni Yanga umenimind sana.
Matokeo ya Simba...bahati yenu,subiri kesho wanaume washuke dimbani [emoji123]
Vp kale kakibanda kenu pale jangwani hakajauzwa tu?
 
Mpenzi Wii...achana nae huyo,hii ndio JF sehemu ambayo mtu 'anakujua' kuliko unavyojijua [emoji4]
Achana nao wiiiii ilimradi anayekupenda hajakwambia hvyo enjoy bwana, ila watu basi tu
 
Aisee!! Sijui nikupe pole au nisemeje... Nadhani labda ni sahihi zaidi nikikupa hongera kwa hatimaye kujitutumua na kutoa kilichopo moyoni... Ndio uanaume

Nifah ni mwanamke wa kipekee kwa hiyo sishangai kwanini aliuteka moyo wako bila hata ya yeye mwenyewe kujua! Ni mwanamke ambaye kama mwanaume unajivunia kuwa naye na hata ukiwa kwenye hadhara lazima 'uvimbe' coz yuko ubavuni kwako...

So, no hard feelings here ndugu yangu! Nimeelewa... Ila nikukumbushe tu kuwa last month nilikuwa kwa Kamanda Sirro pale nimetoka ku-renew kibali cha kumiliki silaha... Kwa hiyo watch it, not to that extent [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wacha mikwara bold.... Ongeza karifundi kwa nifah.... Hio bastola watu hawaogopi siku hizi... Kuna bullet proof. Ha ha ha ha ha ha ha ha ha..... Nyakuzi hilo.
 
Back
Top Bottom