Kipondo Cha ugoko
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 878
- 1,511
Kama ni hivyo sawa ila binti alifika pabayaMaelekezo 7Ε«
Ilianzishwa alipofungua akaunti yake huko insta
Acha ajichanganyeIlianzishwa alipofungua akaunti yake huko insta
Ni hatari sana hilo halijuiNiffer anatakiwa kuelewa sio tatizo kucheza na Kasim ila ni hatari mno kucheza na Waziri Mkuu
Nawewe ni wale wale tu huna hoja kwani kuwa na follows wengi ndio kupata hela hujui kama watanzania wengi ni malimbukeni wa mitandao wanamfollow mtu tu bila sababuNiffer ni mjanja sana kwenye mambo ya pesa ndio maana anatajirika haraka haraka
Hela za michango ya wahanga. Zinatumwa kwenye Lipa namba zenye jina lake.
Halafu idadi ya waliotuma pesa haijulikani. Majina yao na kiasi walichotuma hakiwekwi wazi. Yaani Hakuna Auditor
Kwa jinsi wa Tanzania walivyo wajinga. Huyu dada angepata mtaji mkubwa sana wa biashara zake kupitia hiyo michango.
Kwenye page yake ana wafuasi milioni moja na nusu. Imagine wafuasi Laki 5 tu. Wakituma shilingi elfu moja moja kila mmoja.. Niffer anakusanya milioni 500 fasta fasta.
Hapo anapeleka kwa wahanga milioni 200 kisha 300 anazibana.
Hakuna atakaye gundua
Mbona kama analalamikaMfanyabiashara maarufu Jennifer Jovin, anayefahamika kama Niffer, ametoa majibu yake baada ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, kumtaja katika hotuba yake ya hadhara akitaka afuatiliwe na kueleza nani aliyempa mamlaka ya kuchangisha fedha kufuatia ajali ya kuporomoka kwa gorofa la Kariakoo.
Soma: Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Watu 7 wengine waokolewa
Kupitia majibu yake yaliyojaa shukrani na kueleza nia njema, Niffer amesema:
"Kwanza kabisa, Alhamdulillah, namshukuru sana Allah kwa kunipa nafasi ya kuiona siku ya leo. Kwa kweli, ni jambo kubwa sana kwangu kuona Waziri Mkuu wa nchi yangu ametaja jina langu mbele ya hadhara ya watu mashuhuri. Hii ni ndoto kubwa iliyotimia kwa ulimwengu wa roho."
Niffer ameeleza kuwa nia yake kuu ilikuwa kusaidia wahanga wa ajali hiyo, akisisitiza kuwa hakujua sheria zinazohusiana na uchangishaji wa fedha kwa ajili ya mafaa kama hayo. Ameeleza:
"Nilikuwa tayari tangu mwanzo kutoa ushirikiano kwa Serikali na jamii kwa ujumla. Niliomba muongozo kutoka kwa Mkuu wa Mkoa kabla ya kuanza zoezi hili. Ninaamini nia yangu haikuwa mbaya, na kupitia changamoto hii, nimeona umuhimu wa kuwa na taasisi inayotambulika rasmi, Niffer Foundation."
Waziri Mkuu Majaliwa, wakati akizungumza eneo la Kariakoo, alisisitiza kuwa hakuna mtu anayepaswa kuchangisha fedha bila kibali maalum kutoka serikalini na akatoa agizo kwamba Niffer atafutwe ili aeleze ni nani aliyempa mamlaka hiyo.
Soma, Pia: Jeshi la polisi tayari limempata Niffer kwa kuchangisha michango ya wahanga wa Kariakoo
Baada ya agizo hilo, taarifa zilitolewa kuwa Niffer ameshapatikana na yuko tayari kushirikiana na mamlaka husika.
Atatoa fedha za muda alietumia na fedha ya bando yake jee kosa?Dada mjanja sana huyu. Atafika mbali
Hizo hela alikuwa anaenda kuwasaidia wahanga.. huku na yeye anafaidika
Mtu maarufu sio kuwa na followers IG, umaarufu ni hadi wasio na simu au wa vijijini wakujue.Ni maarufu kwa namba za followers alizonazo huko mjini insta na anao ushawishi.
Wanufaike mara ngapi sasa? Wapya au?Hadi hili sakata lifike mwisho kuna mtu au watu kadhaa watanufaika na lile tako. Ni fursa ya wenye maamuzi kupata utelezi. Niffer anatakiwa kuelewa sio tatizo kucheza na Kasim ila ni hatari mno kucheza na Waziri Mkuu. Mungu amlaze pema hayati EL kwa kusisitiza elimu.
WapyaWanufaike mara ngapi sasa? Wapya au?
Ule msambwanda utawadatisha watamuachia wenyeweMhh ya kweli hayaaaaaa
Hizo hela angeishia kuzila kama wenzake wanavyokulaKungekuwa na sheria za wazi na zinazojulikana kuhusu fundraising.
Mfano, kuna nchi zinataka mtu anayechangisha awe na foundation na awe anaripoti mapato na matumizi wazi kwa taasisi ya kukusanya kodi na kwa wananchi.
Ni kweli kwamba kutojua sheria si excuse ya kuvunja sheria, lakini pia, sheria isiyojulikana ikivunjwa ni rahisi kwa wananchi kumuonea huruma aliyevunja sheria.
Zaidi, jamii yetu imekaa kuhukumiana zaidi ya kusaidiana. Mtu kama Niffer angeunganishwa tu katika efforts za serikali za kukusanya michango.
ππ ila sisi wabongo kwenye upigaji huwa hatutumii akili. Kuna jamaa alikuwa na club yake ya riadha ambayo ilikuwa ina udhamini mnono toka Marekani. Alikuwa akitumiwa kontena zima 20Γ20 la raba achilia mbali pesa kibao za kuendeshea club. Yule mtu aliishia kuelekeza pesa kwenye biashara zake huku lengo halisi akilitelekeza. Wamarekani wakaondoa udhamini wao TZ na kuuelekeza Kenya ambapo huko wamefanya makubwa hadi kujenga hospitali.Hizo hela angeishia kuzila kama wenzake wanavyokula
Nchi hii kila mtu mwizi mwizi mwizi
Ova
Tako sio kitu muhimu kwa sasa Wachina walishafanya yao ?Ana tako, kwa mkwara huo, akiombwa lazima atoe
Aise wabongo kwa uwizi tuko vizuriππ ila sisi wabongo kwenye upigaji huwa hatutumii akili. Kuna jamaa alikuwa na club yake ya riadha ambayo ilikuwa ina udhamini mnono toka Marekani. Alikuwa akitumiwa kontena zima 20Γ20 la raba achilia mbali pesa kibao za kuendeshea club. Yule mtu aliishia kuelekeza pesa kwenye biashara zake huku lengo halisi akilitelekeza. Wamarekani wakaondoa udhamini wao TZ na kuuelekeza Kenya ambapo huko wamefanya makubwa hadi kujenga hospitali.
Niffer ni mjanja sana kwenye mambo ya pesa ndio maana anatajirika haraka haraka
Hela za michango ya wahanga. Zinatumwa kwenye Lipa namba zenye jina lake.
Halafu idadi ya waliotuma pesa haijulikani. Majina yao na kiasi walichotuma hakiwekwi wazi. Yaani Hakuna Auditor
Kwa jinsi wa Tanzania walivyo wajinga. Huyu dada angepata mtaji mkubwa sana wa biashara zake kupitia hiyo michango.
Kwenye page yake ana wafuasi milioni moja na nusu. Imagine wafuasi Laki 5 tu. Wakituma shilingi elfu moja moja kila mmoja.. Niffer anakusanya milioni 500 fasta fasta.
Hapo anapeleka kwa wahanga milioni 200 kisha 300 anazibana.
Hakuna atakaye gundua