Niffer: Nilianza na mtaji wa elfu 40, sasa hivi nashika hadi milioni 150

Niffer: Nilianza na mtaji wa elfu 40, sasa hivi nashika hadi milioni 150

Kwa lile tako la Niffer hata mimi najipanga kuingiza jina langu kwenye list ya wanaume walio nyuma ya mafanikio ya Niffer. Kwa umri wake bado K mnato sana. Hata hao wastaafu wakipata mafao yao wasipite mbele ya hivi vitoto. Ndugu Cocastic jua kwamba wanawake karibu wote wafanyabiashara wanaliwa hatari. Kuna ex wangu wa chuo alikuja Dar kufunga mzigo wake wa nguo ila nikashangaa anawezaje kulala hotel ya bei mbaya zaidi ya 50k kwa siku wakati kiduka chenyewe huko mkoani kidogo na mume wake ni wa kawaida kabisa? Sasa siku moja nikiwa nae kitandani ndo nikaona anaongea na mtu muda mrefu. Nilimuuliza nani akasema mchepuko wake... ILINIUMA SANA kwanini anisaliti.
[emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom