Niffer: Nilianza na mtaji wa elfu 40, sasa hivi nashika hadi milioni 150

Niffer: Nilianza na mtaji wa elfu 40, sasa hivi nashika hadi milioni 150

Watanganyika wengi wanapenda kusikia mtu anateseka kuliko mazuri yake. Huu ndo uchawi wenyewe.

Kama kahongwa au anajiuza wengine wanafeli wapi?
Ni watu wenye roho za uchungu,Wema na Irene Uwoya wanawadiss kila siku hawaana akili anahongwa anashindwa kufanya maendeleo...katokea mwenye akili anafanya maendeleo wanadiss tena!
 
Niffer alikua anauza icecream za Bakharesa wale vijana wanaotembeza wamebeba mgongoni labda ndiko alipatia huo mtaji wa elfu 40 akaenda kuuza wali kariakoo na sasa anamiliki duka kubwa la nguo.

Hata hivyo binti ni mpambanaji apewe maua yake, hayo mengine ni kufikishwa tu kwenye mafanikio tunasema alibebwa akabebeka sio kama wakina fulani ishakua mishangazi lakini inamiliki Macho Matatu na K tu.

Basi Binti ana uthubutu sana na mpambanaji ila isiwe kama "mtaji wa elfu 10" wa Shamim Zeze.
 
Back
Top Bottom