Niffer: Nilianza na mtaji wa elfu 40, sasa hivi nashika hadi milioni 150

Back up muhimu hakuna mwanamke asiyekua na back up labda awe na gundu la chungu cha bibi.....

Kikubwa hiyo back up unaitumia ipasavyo kufikisha malengo yako? Tunamuona ana pambana usiku na mchana hata sponsor anaona kweli pesa yake ipo mahali salama, sio yule shangazi mwenye kipili pili cha K akihongwa kidogo tu anabeba crew ya marafiki kutumbua hela mahotelini, sponsor anaona kabisa hapa nadeal na zero brain anapiga chap chap anasepa zake.
 
[emoji23]
Kumbe zile photoshoot za Instagram ,wadada wanaweka matako na manyonyo yanakaa wazi ni mbinu ya kusaka wanaume wa kuhonga hela?

Sisi picha hizo za mitandaoni tunapigia puli bure kabisa na akina dronedrake [emoji23][emoji23]
Mjini hapa akili ndio kila kitu, ukiwa una aibu aibu utakufa kwa njaa
 
Soko limekua gumu, vitoto vya 2000 vipo kwenye chat nani akimbizane na migume gume ya miaka 80 huko
Soko gumu sana sikuhizi, vitoto vya 2000 ni moto sana. Toto dogo tako kubwaaa, tumbo flati, zigo kubwaa lainiii πŸ˜‚πŸ˜‚ jeupee. Pia wanaume wengu sikuhizi wanaishi kwa bajeti ni mwendo wa puli tu lazima soko liwe gumu kwako dronedrake
 
Pension anaakulaa Niffer mtoto wa 24yrs, huku wazee wakiwa hawana halii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii nchi bas tyuuh.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada nimechekaaa mnooo.

Sasa yeye Niffer aache kudanganya sasa, atafanya mabinti wa umri wake wajione sio kitu, kumbe yeye anabebwaaa.
 
Pension anaakulaa Niffer mtoto wa 24yrs, huku wazee wakiwa hawana halii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii nchi bas tyuuh.
πŸ˜‚
Ndio maana samia anaona atuuze tu. Nchi ina watu wa hovyo. Mtu anapata kazi nssf, badala ya kuwapa wastaafu hela zao, yeye anahonga hela kwenye tako kubwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Nawaonea huruma wastaafu Mungu awape nguvu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…