Niffer: Nilianza na mtaji wa elfu 40, sasa hivi nashika hadi milioni 150

Niffer: Nilianza na mtaji wa elfu 40, sasa hivi nashika hadi milioni 150

Hao machawa tamaa na ugumu wa maisha itakuwa [emoji17]
Tamaa, bado nashindwa kuelewa kwa nini wanaume wenzetu wanapenda sana kupewa ppesa bure bure tu.

Bahati mbaya hao matajiri wakubwa wafanyabiashara huwa wana mambo yao ambayo kula mwanaume mwingine ni moja ya masharti. Basi ndugu zetu hawa wanalika haswaa
 
Hahahaha wewe ulipata ngapi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mm nilisoma sayansi fom 6 ila one ya 7 hata ya art naipa respect

Nilipata one pia fom 6 ya sayansi PC■
Mimi kitu inaitwa shule ilikuwa kichwani, sijui kufeli kunafananaje. Mimi napenda kusoma, hata sasa ni msomaji mzuri wa vitabu na articles mbalimbali
 
Mpeni hongera huyu dogo, wapo wengi tu kama yeye, wakiume kwa wakike, hawa walikua mawinga , wamepambana kufika hapo, kweli ukiwa winga una ndoto na mipango mizuri, unafika hapo, ila m150 hapo kawadanganya. Ila binti mpambanaji, alikua hovyo sana huyo, na nyumbani kwao pia wako vizuri maisha Ya kawaida.
 
Kuna vitu vingi kwenye mafanikio huwa havisemwi:-
  • Kwenda kwa karumanzila kutafuta bahati
  • Kutumia mahusiano ili kupata mitaji
  • Mbinu zilizojificha za kibiashara n.k
 
Back
Top Bottom