Kasema kweli, hakua mwanachama. Maandamano si ya wanachama fulaniUso unamsuta inaonekana kalazimishwa.
ukute kaambiwa pia akawe balozi wa mama..... Tunakuelewa Niffer.
TUSIWALAUMU wasanii mazee....jela kuskie tu. kama haujawahi hata kulala mahabusu utadhani natania.
oouh....sikufikiria hili.Kasema kweli, hakua mwanachama. Maandamano si ya wanachama fulani
Ushauri wangu , ahame nchi, ahamishe biashara yake."Mimi sina chama chochote cha siasa na wala sijihusishi na siasa kwa namna yoyote ile ni mwananchi wa Tanzania" Alisema mfanyabiashara Niffer Jovin baada ya kuachiwa huru dhidi ya kesi yake ya uhaini ilivyokuwa inamkabili.
Ok ni sahihi ni uamuzi WA mtu"Mimi sina chama chochote cha siasa na wala sijihusishi na siasa kwa namna yoyote ile ni mwananchi wa Tanzania" Alisema mfanyabiashara Niffer Jovin baada ya kuachiwa huru dhidi ya kesi yake ya uhaini ilivyokuwa inamkabili.
..wanaomuhoji, hawa zeruzeru tv na yeye mwenyewe anayehojiwa ni zero brain! biashara za majini ndivyo zinafanya watu wawe hivi..haelewi lolote mapete ndio yanamuamulia!"Mimi sina chama chochote cha siasa na wala sijihusishi na siasa kwa namna yoyote ile ni mwananchi wa Tanzania" Alisema mfanyabiashara Niffer Jovin baada ya kuachiwa huru dhidi ya kesi yake ya uhaini ilivyokuwa inamkabili.
..biashara za majini ahamishe kupeleka wapi wakati wateja wako hapa..!Ushauri wangu , ahame nchi, ahamishe biashara yake.
Its not safe for her
..hukumuona alivyokuwa anatembea navyo mkononi wakati wa kesi yake? hivyo ndio vimemfanya atoke ndio maana anavitambua zaidi ya Mungu wa kweli.Tuliza akili kwanza usije na ngonjera tofauti maana hizo shukrani shukrani kuna watu wamekana kuzima internet siku ya uchaguzi na baada,pia nilitegemea uanze kumshukuru Mungu maana watanzania walikuombea kwa Mungu na sio kushukuru kwa uonevu,pumbafu!
Ni HIARI kuwa kwenye chama cha SIASA,Hakuna kitu nachukia kama kujiunga na chama chochote cha siasa.
Huko akili yako unatekwa unaongozwa kw akili ya kimakundi na pengine kwa malengo ya wachache.
Unajikuta unafanya au unatetea jambo baya.
Dini pia inawatia watu upofu huo huo wa fikra.
Inauwa free mind na kukuza kutawaliwa akili kimakundi. Yaani vinakuza utumwa wa fikra (mental slavery).
Sisi waislam tunatakiwa 100% uislamHakuna kitu nachukia kama kujiunga na chama chochote cha siasa.
Huko akili yako unatekwa unaongozwa kw akili ya kimakundi na pengine kwa malengo ya wachache.
Unajikuta unafanya au unatetea jambo baya.
Dini pia inawatia watu upofu huo huo wa fikra.
Inauwa free mind na kukuza kutawaliwa akili kimakundi. Yaani vinakuza utumwa wa fikra (mental slavery).
..mtu anayefikiri hivi, kichwani kuna matope, hajui atokako, alipo na anakokwenda, sababu hajui malengo ya kuwepo kwake hapo alipo..wote wengefikiri km yeye pengine asingekuwepo.Hakuna kitu nachukia kama kujiunga na chama chochote cha siasa.
Huko akili yako unatekwa unaongozwa kw akili ya kimakundi na pengine kwa malengo ya wachache.
Unajikuta unafanya au unatetea jambo baya.
Dini pia inawatia watu upofu huo huo wa fikra.
Inauwa free mind na kukuza kutawaliwa akili kimakundi. Yaani vinakuza utumwa wa fikra (mental slavery).
Mimi sijaviona nachojua watanzania walimwambia Mwenyezi Mungu atakuondoa kwenye mikono ya waonevu kwa wewe sio muhaini..hukumuona alivyokuwa anatembea navyo mkononi wakati wa kesi yake? hivyo ndio vimemfanya atoke ndio maana anavitambua zaidi ya Mungu wa kweli.
..tafuta hizo clip utaona, Mwenyezi Mungu anamlinda na kumtetea mtu yeyote anayeonewa hata bila maombi ya yeyote.Mimi sijaviona nachojua watanzania walimwambia Mwenyezi Mungu atakuondoa kwenye mikono ya waonevu kwa wewe sio muhaini