PostGE2025 Niffer: Sina chama chochote na sijihusishi na siasa. Yaliyotokea ni 'Misunderstanding'

PostGE2025 Niffer: Sina chama chochote na sijihusishi na siasa. Yaliyotokea ni 'Misunderstanding'

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ile tasbih yake kubwa anayotembea nayo kama Imam wa mabaniani anayo hapo?

Kumbe mahabusu inafundisha adabu? Sasa sahivi hakuna haja ya kupeleka tena mtu mahabusu kwenda kumaliza chakula cha bure.

Ukifanya uhalifu utapumzishwa milele utafia hapohapo mbele ya mali uliyoiba au kuharibu.

Hakuna huruma kwa wahalifu.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Mimi sijaviona nachojua watanzania walimwambia Mwenyezi Mungu atakuondoa kwenye mikono ya waonevu kwa wewe sio muhaini
Anamaanisha: 'alieleweka vibaya na mamlaka kimakosa, hakuwa na dhamira ovu waliyomshitakia'.
 
..mtu anayefikiri hivi, kichwani kuna matope, hajui atokako, alipo na anakokwenda, sababu hajui malengo ya kuwepo kwake hapo alipo..wote wengefikiri km yeye pengine asingekuwepo.
Upo sahihi kwa mawazo yako. Sikupingi.
 
..mtu anayefikiri hivi, kichwani kuna matope, hajui atokako, alipo na anakokwenda, sababu hajui malengo ya kuwepo kwake hapo alipo..wote wengefikiri km yeye pengine asingekuwepo.
Mind you.
Pamoja na kuwa na fikra huru bado naamini uwepo wa Mungu ambaye anataka binadamu tuishi kwa Uhuru siyo vitisho vya dini au vyama vya siasa.
Tofautisha uwepo wa Mungu na kuwa muumini wa dini fulani. Dini inafundisha uoga na vitisho, pengine dini zingine na ubaguzi pia.
 
Namshauri huyu sista 9dec apotee
aende hata kenya au atoke hapo dar kwa usalama wake.
 
"Mimi sina chama chochote cha siasa na wala sijihusishi na siasa kwa namna yoyote ile ni mwananchi wa Tanzania" Alisema mfanyabiashara Niffer Jovin baada ya kuachiwa huru dhidi ya kesi yake ya uhaini ilivyokuwa inamkabili.
"Uchunguzi umefanyika, msamaha umeweza kupita wa mheshimiwa Rais"
 
Mind you.
Pamoja na kuwa na fikra huru bado naamini uwepo wa Mungu ambaye anataka binadamu tuishi kwa Uhuru siyo vitisho vya dini au vyama vya siasa.
Tofautisha uwepo wa Mungu na kuwa muumini wa dini fulani. Dini inafundisha uoga na vitisho, pengine dini zingine na ubaguzi pia.
Mungu ameweka wajibu kwa kila binadamu..siasa, dini, nk ni majukwaa ya kila binadamu kufanya wajibu! maneno yako ni ya mtu asiyejua wajibu wa uwepo wake hapo alipo.
 
Una uhakika ni za majini?
..no doubt, jifunze kuona zaidi ya vinavyoonekana kwa macho yako mawili, learn body language..no wonder mnalishwa dead bodies kwenye migahawa mnasifia jina n you hv no idea..! this world s evil!
 
Back
Top Bottom