Una uhakika ni za majini?..biashara za majini ahamishe kupeleka wapi wakati wateja wako hapa..!
Kwa utawala huu hasa ukiwa upande wa kupingapinga mauonevu yao ni kosa,si unaona Lissu?Ok ni sahihi ni uamuzi WA mtu
Lakini kwani kushabikia chama ni kosa ???
Anamaanisha: 'alieleweka vibaya na mamlaka kimakosa, hakuwa na dhamira ovu waliyomshitakia'.Mimi sijaviona nachojua watanzania walimwambia Mwenyezi Mungu atakuondoa kwenye mikono ya waonevu kwa wewe sio muhaini
Upo sahihi kwa mawazo yako. Sikupingi...mtu anayefikiri hivi, kichwani kuna matope, hajui atokako, alipo na anakokwenda, sababu hajui malengo ya kuwepo kwake hapo alipo..wote wengefikiri km yeye pengine asingekuwepo.
na wala hawakupaswa kumfungulia kesi kubwa hiyo kisheriaAnamaanisha: 'alieleweka vibaya na mamlaka kimakosa, hakuwa na dhamira ovu waliyomshitakia'.
Mind you...mtu anayefikiri hivi, kichwani kuna matope, hajui atokako, alipo na anakokwenda, sababu hajui malengo ya kuwepo kwake hapo alipo..wote wengefikiri km yeye pengine asingekuwepo.
"Uchunguzi umefanyika, msamaha umeweza kupita wa mheshimiwa Rais""Mimi sina chama chochote cha siasa na wala sijihusishi na siasa kwa namna yoyote ile ni mwananchi wa Tanzania" Alisema mfanyabiashara Niffer Jovin baada ya kuachiwa huru dhidi ya kesi yake ya uhaini ilivyokuwa inamkabili.
Kwani huyu Nifa ni msanii wa sanaa gani?USIWALAUMU wasanii
Mungu ameweka wajibu kwa kila binadamu..siasa, dini, nk ni majukwaa ya kila binadamu kufanya wajibu! maneno yako ni ya mtu asiyejua wajibu wa uwepo wake hapo alipo.Mind you.
Pamoja na kuwa na fikra huru bado naamini uwepo wa Mungu ambaye anataka binadamu tuishi kwa Uhuru siyo vitisho vya dini au vyama vya siasa.
Tofautisha uwepo wa Mungu na kuwa muumini wa dini fulani. Dini inafundisha uoga na vitisho, pengine dini zingine na ubaguzi pia.
..no doubt, jifunze kuona zaidi ya vinavyoonekana kwa macho yako mawili, learn body language..no wonder mnalishwa dead bodies kwenye migahawa mnasifia jina n you hv no idea..! this world s evil!Una uhakika ni za majini?