Niffer uvumilivu umemshinda kaacha kuvaa ushungi

Kwani lini aikuwa muislamu zaidi ya kufunga ndoa , yule Mwijaku hana uislamu ni kufanya vile kuwa karibu na wale matajiri , Barnaba hana uislamu ,huyu ambye connection yake ilivuja hana uislamu naye ni vile alitaka ndoa , wapo wengi tu hata ukiwa msanii ni mnafiki tu hauna uislamu .

Kuonyesha nywele haijakatwa ila ni nyumbani kwao sio hadharani.
 
Dah mtoto ana kishundu! Ndo alianza na mtaji wa elf 40 eee
AlianZa na mtaji wa nyumba n choo

Huo mtaji wadada wengi ndio tegemeo lao

Ajabu sasa had wanaume hasa pale CHINA PLAZA KARIAKOO vijana wengi wameanzia.na mtaji huo
 
 
Chadema hamna hela acheni usumbufu.
Mxiuuuu, hela kitu gani nyau wewe? Sio chadema wala sio chochote ila nimekuona hujakua, yaan kuwa au kutokuwa na hela ndio hoja ya kuweka mezani mwanaume mzima hufikirii hoja ya msingi, mxiuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…