Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Ndio huwa hawatakiumbea😂😂
Hapo namba mbili ("Sinaga urafiki nje ya kazi na maboss") inachangia ulipofika. Ni vizuri kuwa na mahusiano (yenye afya) kwa ajili ya networking hasa kwa career growth. Ukijifungia ndio unakuwa huwajui na inakuwia vigumu kuwa approach.Wakuu hapa napoongea saizi nipo dorooooo dorooo kinoma yaani moja haikai Mbili haiendi Mpaka siyo poa.
Nachangamoto ya mawasiliano.Siwezi kuwaingia watu wakubwa namaanisha maboss.
Simu yangu hapa ina no za watu wazito lakini nawaingiaje hatujuani personal.
Gear ya kuingia sina.
Kuna mmoja hapa nilimtext akajibu nilivojitambulisha hakujibu tena yaan nilipata hasira.
Personality yangu
-Hupenda kufanya mambo yangu kazi zangu kifupi nikiwa kazin nafanya kazi sinaga habar ya kujipendekeza kwa boss
-Sinaga urafiki nje ya kazi na maboss
-Sinaga maneno maneno (kama ushakuwa makazini utajua naongelea nn)
Sasa naona hii personality yangu inaniyeyusha vile
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna jamaa aliomba namba kwa mwenzake ambaye amemzidi kimaisha akaambiwa hii namba usipige wala kutuma text ya kawaida ila utume text kwa njia ya wasap tuu [emoji23] nikabaki kucheka
mtegemea cha nduguye hufa masikiniWakuu hapa napoongea saizi nipo dorooooo dorooo kinoma yaani moja haikai Mbili haiendi Mpaka siyo poa.
Nachangamoto ya mawasiliano.Siwezi kuwaingia watu wakubwa namaanisha maboss.
Simu yangu hapa ina no za watu wazito lakini nawaingiaje hatujuani personal.
Gear ya kuingia sina.
Kuna mmoja hapa nilimtext akajibu nilivojitambulisha hakujibu tena yaan nilipata hasira.
Personality yangu
-Hupenda kufanya mambo yangu kazi zangu kifupi nikiwa kazin nafanya kazi sinaga habar ya kujipendekeza kwa boss
-Sinaga urafiki nje ya kazi na maboss
-Sinaga maneno maneno (kama ushakuwa makazini utajua naongelea nn)
Sasa naona hii personality yangu inaniyeyusha vile
Naungana na wewe mkuu, hii njia ya kujikwamua anayotaka kuitumia huyu mwanajukwaa naona kama ni ngumu mno.Hayo maisha unayotaka kuyaishi mbona ni magumu sana,sijui lkn watu tuko tofauti,kwanza una elimu gani?una uzoefu gani?una skills gani?Je ni muaminifu kwenye kazi?Je unamawasiliano mazuri?ukiwa na hivyo vigezo hauna haja ya kutumia nguvu sana hao maboss watakutafuta tu wenyewe na kupokonyana kutaka kufanya kazi na wewe
PoleHii nayo nimeichukua
lakin sometimes naona kama tabia inanikost
AsantePole
Sio kweli hiyo methali inafanya kazi Kwa baadhi ya waswahili ngozi nyeusi Haina nguvu Kwa wachaga,wakinga ,wapemba,waarabu na wahindi kwao mtegenea Cha nduguye Hafi maskini hata Siku mojamtegemea cha nduguye hufa masikini