Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Si uwapigie, ishu serious we unatuma text si dharau hizo.
Hata kama sio VIP kuna wengine ukituma text ati una shida husaidiwi.
Piga jitambulishe vizuri eleza shida yako ...
Baada ya hapo ndo unaweza kua unamkumbusha kwa texts