Nifute kwenye kitabu cha kuzimu, niandike kwenye kitabu cha uzima" Hivi vitabu vikoje na uhalisia wake?

Nifute kwenye kitabu cha kuzimu, niandike kwenye kitabu cha uzima" Hivi vitabu vikoje na uhalisia wake?

Hapo ndipo mwisho wa uwezo wako wa kufikiri.

Huwezi kujenga hoja kwa logic na truth table.

Zaidi, ni mpumbavu huna hata utashi wa kujifunza.

Wewe ni wale mliokimbia umande, mnaitwa "sitaki shule".

You are basically semi literate, ngumbaru, ndiyo maana siwezi kujibizana na wewe, nakupeleka ignore list, kuanzia hapa sitaona post yako yoyote.
Usikute una ka-bachelor kamoja ka-Arts with education unataka kusumbua watu hapa. Mimi umande niliukmblia na nikaubeba kichwani na mwngne niliutia kwenye chupa nikaufanya maji ya kunywa.

Tatizo lako elimu yako haikusaidii coz kila kitu una criticize, mda mwingine mnashauriwa musipandanishe degree coz bongo aina yako ni ndogo sana.

Ambatanisha bas na CV zako kwenye next comment il tujue kama umesoma sana bata maji[emoji34][emoji34]
 
Unachoka kabisa unapoambiwa mungu ndo alieplan hii dunia iwe hivi, amepangilia kila kitu na anajua hadi mwisho wake, it means alipanga watu tutaumwa tutakufa kutakuwa na vita pengine hata nyoka kumwambia hawa ale tunda alipanga yeye pia
Huyo Mungu tumemtunga wenyewe watu, kiuhalisia nje ya hizo hadithi zetu hayupo.

Ni hivi, sisi watu wengi hatutaki kusema jambo hili hatulijui, ngoja tulichunguze tulijue.

Tukikutana na jambo tusilolijua, tunatafuta chaka la kutupia hilo jambo. Chaka kubwa kabisa ni huyu Mungu tuliyemtunga.

Ukitumia mantiki hili jambo liko wazi kabisa.
 
Mpaka sasa unatoa kauli za imani tu, hujathibitisha Mungu yupo.

Nimekupa mfano wa kimantiki unaoonesha Mungu hayupo. Nimekuambia kuhusu The Problem of Evil/ The Epicurean Paradox.

Inaonekana huelewi, huna utashi wa kuelewa na pengine huna uwezo wa kuelewa the problem of evil/ Epicurean Paradox ni nini.

Ndiyo maana mpaka sasa hujaweza hata kutueleza tu kuwa umeelewa ninapoandika "the problem of evil" au "the Epicurean Paradox" ninamaanisha nini.

Sembuse kujibu hizo hoja.

Unaishia kurusha maneno tu kama "mantiki" wakati nikikuwekea hoja za kimantiki huwezi kuziona.

Siyo huwezi kuzijibu, maana nikisema mtu hawezi kuzijibu inawezekana akaziona, akazielewa, akashindwa kuzijibu. Yani angalau amezielewa na anaweza kuzirudia lakini hawezi kuzijibu.

Wewe hoja zangu huwezi kuziona kabisaa, huzielewi kabisaaaa.

Bisha.

Nieleze umeelewa nini nilivyokueleza pingamizi langu la the problem of evil, na unapangua vipi pingamizi langu hilo?

Hujui ninachoandika ni nini!

Unanipinga kwa kauli za imani tu badala ya kujibu hoja zangu.

Hoja huzielewi, hata huzioni.
Ni kweli natoa kauli za imani ambazo zinamake sense kiimani.

Kwa upande wako unauliza maswali ya kifalsafa ambayo majibu yake hayapo! Tena maswali ya idealism upate majibu kwa fact za kisayansi! Mkuu unachekesha kweli.
utabaki kujikanganya mwenyewe na kurudi palepale.

Mkuu unasema kuhusu
Epicurean Paradox
Mbona majibu yake yalitolewa na Augustine's solution pamoja na Leibniz. Hujaridhika nayo?

Ebu jaribu kuwa na mawanda mapna ya uelewa wako usijifunge. Kuna vitu yes kwa akili ya kawaida ya Binadamu huwezi kung"amua existance of God and evil.

Swali. Unaimini vipi akili yako? Katika kiwango cha kukubalika kwamba unachoamini ni sahihi?

Kibaya zaidi katika hoja zako umefanya marejeleo ya watu, Binadamu wale wale ambao wamekosa majibu kama wewe! Maswali kuhusu kumpinga Mungu/ shetani ni yaleyale tangu kale.

Mwisho tuhitimishe kwa kusema wewe unaamini kutokuwepo Mungu/ SHETANI Yes! Kwa hoja zako za kifalsafa.

kwa upande wangu Nasema Mungu na SHETANI wapo kwa hoja zangu za imani.
 
Mkuu,

1. Hujathibitisha Mungu yupo.

2. Hujatatua the problem of evil factually/ logically.

3. Unatumia imani tu, ambayo kila mtu anaweza kuja nayo yake, nyingine zikapingana, sasa hata imani unajuaje imani yako ni sahihi na hujaamini uongo tu?
 
Hizo ni rejesta za mbinguni. Ni kama namba za NIDA! Ili uingie mbinguni basi ya kupasa jina lako liwe kwenye database ya mbinguni.
Na iwapo mtu hakuonekana ameandikwa katika kitabu cha uzima, basi anaelekezwa mlango wa kutokea pale kwenye kiti cha hukumu na kupelekwa kuchomwa moto.
Mbona km huwa wanaandika na kufuta sasa,ukizingua unaandikwa huku ukitubu unaandikwa huku,mimi nilidhan labda inabid majina yawe yanaandikwa kabla ya pumz ya mwisho ambapo raia hawez kubadilisha kitu
 
Ufunuo wa Yohana 3:5 Yeye ashindaye atavikwa hivyo mavazi meupe, wala sitalifuta kamwe jina lake katika kitabu cha uzima, nami nitalikiri jina lake mbele za Baba yangu, na mbele ya malaika zake.

Ufunuo wa Yohana 20:15 Na iwapo mtu ye yote hakuonekana ameandikwa katika kitabu cha uzima, alitupwa katika lile ziwa la moto.

Ufunuo wa Yohana 21:27 Na ndani yake hakitaingia kamwe cho chote kilicho kinyonge, wala yeye afanyaye machukizo na uongo, bali wale walioandikwa katika kitabu cha uzima cha Mwana-Kondoo.

Biblia ni kitabu cha Mungu kama vile Mungu alivyokuwa na kitabu cha uzima hivyo hivyo shetani pia anakitabu cha kuzimu Kwa hiyo hivyo vitabu vipo na ni halisi kabsa
Sasa ingekua fresh km hayo majina yangekua yanaandikwa mtu akishakufa,sio leo nimekula mbususu naandikwa kwny kitabu cha kuzimu kesho nikitubu naandikwa kwny kitabu cha uzima,iyo kaz ya kufuta futa anafanya nani?
 
Biblia inakiri shetani alikuwa Mbinguni kama Lucifer kabla ya kuasi. kwa hiyo nako akapata wafuasi ambao walisaidia kupigana na malaika watiifu. mwishowe wakashindwa na kutupwa chini. so ni sahihi unless kwanza ukatae Lucifer hajawahi kuwa mbinguni
Thibitisha Lucifer yupo,
Thibitisha mbingu ipo
Thibitisha malaika wapo

Ukifanya hivyo tutazungumza zaidi
 
Zinathibitishaje labda kurekodi au kuiona hio ndoto
Rejea 1

Rejea 2

Je kuna namna yeyote ya kuthibitisha uwepo wa Mungu!?
 
Back
Top Bottom