Nifute kwenye kitabu cha kuzimu, niandike kwenye kitabu cha uzima" Hivi vitabu vikoje na uhalisia wake?

Usikute una ka-bachelor kamoja ka-Arts with education unataka kusumbua watu hapa. Mimi umande niliukmblia na nikaubeba kichwani na mwngne niliutia kwenye chupa nikaufanya maji ya kunywa.

Tatizo lako elimu yako haikusaidii coz kila kitu una criticize, mda mwingine mnashauriwa musipandanishe degree coz bongo aina yako ni ndogo sana.

Ambatanisha bas na CV zako kwenye next comment il tujue kama umesoma sana bata maji[emoji34][emoji34]
 
Unachoka kabisa unapoambiwa mungu ndo alieplan hii dunia iwe hivi, amepangilia kila kitu na anajua hadi mwisho wake, it means alipanga watu tutaumwa tutakufa kutakuwa na vita pengine hata nyoka kumwambia hawa ale tunda alipanga yeye pia
Huyo Mungu tumemtunga wenyewe watu, kiuhalisia nje ya hizo hadithi zetu hayupo.

Ni hivi, sisi watu wengi hatutaki kusema jambo hili hatulijui, ngoja tulichunguze tulijue.

Tukikutana na jambo tusilolijua, tunatafuta chaka la kutupia hilo jambo. Chaka kubwa kabisa ni huyu Mungu tuliyemtunga.

Ukitumia mantiki hili jambo liko wazi kabisa.
 
Ni kweli natoa kauli za imani ambazo zinamake sense kiimani.

Kwa upande wako unauliza maswali ya kifalsafa ambayo majibu yake hayapo! Tena maswali ya idealism upate majibu kwa fact za kisayansi! Mkuu unachekesha kweli.
utabaki kujikanganya mwenyewe na kurudi palepale.

Mkuu unasema kuhusu
Epicurean Paradox
Mbona majibu yake yalitolewa na Augustine's solution pamoja na Leibniz. Hujaridhika nayo?

Ebu jaribu kuwa na mawanda mapna ya uelewa wako usijifunge. Kuna vitu yes kwa akili ya kawaida ya Binadamu huwezi kung"amua existance of God and evil.

Swali. Unaimini vipi akili yako? Katika kiwango cha kukubalika kwamba unachoamini ni sahihi?

Kibaya zaidi katika hoja zako umefanya marejeleo ya watu, Binadamu wale wale ambao wamekosa majibu kama wewe! Maswali kuhusu kumpinga Mungu/ shetani ni yaleyale tangu kale.

Mwisho tuhitimishe kwa kusema wewe unaamini kutokuwepo Mungu/ SHETANI Yes! Kwa hoja zako za kifalsafa.

kwa upande wangu Nasema Mungu na SHETANI wapo kwa hoja zangu za imani.
 
Mkuu,

1. Hujathibitisha Mungu yupo.

2. Hujatatua the problem of evil factually/ logically.

3. Unatumia imani tu, ambayo kila mtu anaweza kuja nayo yake, nyingine zikapingana, sasa hata imani unajuaje imani yako ni sahihi na hujaamini uongo tu?
 
Mbona km huwa wanaandika na kufuta sasa,ukizingua unaandikwa huku ukitubu unaandikwa huku,mimi nilidhan labda inabid majina yawe yanaandikwa kabla ya pumz ya mwisho ambapo raia hawez kubadilisha kitu
 
Sasa ingekua fresh km hayo majina yangekua yanaandikwa mtu akishakufa,sio leo nimekula mbususu naandikwa kwny kitabu cha kuzimu kesho nikitubu naandikwa kwny kitabu cha uzima,iyo kaz ya kufuta futa anafanya nani?
 
Biblia inakiri shetani alikuwa Mbinguni kama Lucifer kabla ya kuasi. kwa hiyo nako akapata wafuasi ambao walisaidia kupigana na malaika watiifu. mwishowe wakashindwa na kutupwa chini. so ni sahihi unless kwanza ukatae Lucifer hajawahi kuwa mbinguni
Thibitisha Lucifer yupo,
Thibitisha mbingu ipo
Thibitisha malaika wapo

Ukifanya hivyo tutazungumza zaidi
 
Zinathibitishaje labda kurekodi au kuiona hio ndoto
Rejea 1

Rejea 2

Je kuna namna yeyote ya kuthibitisha uwepo wa Mungu!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…