Niger: Aanza kulia kama mtoto baada ya kuambiwa atapigwa risasi asiposema pesa za ufisadi zilipo

Ccm wasidhani kama wapo safe kwa hii wave inayoendelea
 
Mbona ni kama anaigiza mkuu 'Muuza Kangala'?

Mtu aambiwe "atapigwa risasi" halafu ajiinjoi na maji/kinywaji namna hiyo?
Mbona hali ingekuwa ni mbaya sana?
Mbona kesha pupu kwenye Pant
 
Anaambiwa atangaze kujiuzuru fasta maisha mengine yaendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…