Nigeria: Boko Haram wachinja wakulima 43

Nigeria: Boko Haram wachinja wakulima 43

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Screenshot_20201129-045209.png

Amnesty International tawi la Nigeria inaripoti kuwa wakulima 43 wa Kijiji cha Maiduguri kilichopo Jimbo la Borno.

Wakulima 43 wa Jimbo la Borno, Nigeria wamechinjwa katika mashamba ya mpunga, Zabarmari na kikundi cha Boko Haram

Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari ameonesha kusikitishwa na kitendo hicho, pia katika ukurasa wake wa tiwtter ameandika kulaani mauaji hayo

Serikali ya Nigeria imefanya yote yanayowezekana kulinda nchi hiyo na watu wake, Rais amesema. Aidha shirika la kimataifa linalohusika na haki za binaadamu, Amnesty International lime laani kitend hicho

=====
Boko Haram Kills at Least 43 Farmworkers in Nigeria, Militia Says

Boko Haram fighters killed at least 43 farmworkers and injured six in rice fields near the northeast Nigerian city of Maiduguri on Saturday, anti-jihadist militia told AFP.

The assailants tied up the agricultural workers and slit their throats in the village of Koshobe, the militia said.

"We have recovered 43 dead bodies, all of them slaughtered, along with six others with serious injuries," said militia leader Babakura Kolo, who helped the survivors. "It is no doubt the handiwork of Boko Haram, who operate in the area and frequently attack farmers."

The victims were laborers from Sokoto state in northwest Nigeria, roughly 1,000 kilometers (600 miles) away, who had traveled to the northeast to find work, said Ibrahim Liman, another militiaman who gave the same toll.

"There were 60 farmers who were contracted to harvest ... the rice fields. Forty-three were slaughtered, with six injured," Liman said.

Eight others were missing, presumed to have been kidnapped by the jihadists, he said.

The bodies were taken to Zabarmari village, two kilometers away, where they would be kept ahead of burial Sunday, said resident Mala Bunu, who took part in the search-and-rescue operation.

Last month, Boko Haram militants slaughtered 22 farmers working in their irrigation fields near Maiduguri in two separate incidents.

Boko Haram and ISWAP, its IS-linked rival, have increasingly targeted loggers, herders and fishermen in their violent campaign, accusing them of spying and passing information to the military and the local militia fighting them.

At least 36,000 people have been killed in the jihadist conflict, which has displaced around 2 million people since 2009.

More: Boko Haram Kills at Least 43 Farmworkers in Nigeria, Militia Says
 
Amnesty International tawi la Nigeria inaripoti kuwa wakulima 43 wa Kijiji cha Maiduguri kilichopo Jimbo la Borno.
Kamanda una haraka ya kwenda wapi? Si utulie uandike post yake kwa ukamilifu! Eti kijiji cha Maiduguri. Maiduguri ni mji mkuu wa jimbo la Borno!
Au unakimbia kwenda kujificha ubalozini 😅😅
 
Jamii ya FULANI ndio wanao wanaoisapot boko Haram..
na wapiganaji wengi wa Bolo Haram wa natoka katika jamii hiyo.
ni jamii ndogo sana ila wanavurugu balaa
 
Jamii ya FULANI ndio wanao wanaoisapot boko Haram..
na wapiganaji wengi wa Bolo Haram wa natoka katika jamii hiyo.
ni jamii ndogo sana ila wanavurugu balaa
Jamii gani.?
 
Nchi yenyewe ya Nigeria inaenda kusambaratika kwa maoni yangu

Makabila ya kaskazini wanadai makabila ya Kusini ni wahalifu hivyo hawataki kuwa nchi moja nao na makabila ya kusini wanadai Wa kaskazini wapo kidini sana na wanarudisha maendeleo nyuma

Na matatizo ndio kama hayo , Uongozi incompetent ndio chanzo cha matatizo Nigeria

Viongozi wanawaza kukwapua kifisadi fedha za Umma na si kujijenga Nigeria
 
Huko Capo Delgado vipi,vijana wa Sirro wanaendeleaje..naona kimya
 
Nchi yenyewe ya Nigeria inaenda kusambaratika kwa maoni yangu

Makabila ya kaskazini wanadai makabila ya Kusini ni wahalifu hivyo hawataki kuwa nchi moja nao na makabila ya kusini wanadai Wa kaskazini wapo kidini sana na wanarudisha maendeleo nyuma

Na matatizo ndio kama hayo , Uongozi incompetent ndio chanzo cha matatizo Nigeria

Viongozi wanawaza kukwapua kifisadi fedha za Umma na si kujijenga Nigeria
Hawa walitakiwa wachanganywe kitambo,wazaliane yasingetikea haya
 
Matumizi ya neno kuchinjia kwa binadamu au yawakata koo ni udhalilishaji wa utukufu wa binadamu.Maneno haya pia yanatoa dalili ya upotoshaji kutoka kwa muandishi na dalili za kutia chumvi kwa kilichotokea.Hata muanzishaji mada atakuwa akili moja na hao walioandika kwa maara ya mwanzo.
Maneno halisi yaliyozoeleka tangu zamani kuripoti majanga ya vifo vya binadamu ni watu kadhaa wameuliwa.....au baadhi yao walikufa kwa kushambuliwa na vitu vya makali. Haiwezekani kuwa watu wote hao walichinjwa na kukatwa makoo.
 
Binadamu hana utukufu wowote

Haina tofauti na Tanzaniano
 
Hawa walitakiwa wachanganywe kitambo,wazaliane yasingetikea haya
Tatizo lugha ndugu yangu

Tushukuru mungu nchi kama Tanzania na Kenya lugha ni moja kila mtaa na kila kona

Nigeria lugha ni ukuta , na inaweza kuwa imechangiwa na uwepo wa makabila makubwa kama Igbo,Yoruba,Hausa,Fulani ambayo ni makabila makubwa sana ambayo lugha zake ndio lugha mama(first language) kwa kila eneo

Unakuta mtu wa Nigeria kusini anawaza natokea kwetu tunazungumza Igbo naendaje kufanya biashara maeneo ya wahausa ?
 
Hawa bokoharam hawapiganii dini yoyote,hawa ni magaidi.
 
Nakumbuka kipindi cha nyuma kama si huyu Rasi Buhari atakuwa Goodlick Jonathan, ilimulazimu kuhaisha mpaka kambi ya jeshi kutoka Abuja kwenda huko maiduguli ambako ndo ngome kuu ya waasi ila bado nasikitika bado kusikia wakazi wa eneo lile bado wanasumbuliwa na hawa wauwaji😰

Mungu awazidishie wafiwa wote nyoyo za uvumilivu ktk kipindi hiki kigumi na azipumuzishe roho za marehemu mahari pema peponi
Amina
 
Jamii ya FULANI ndio wanao wanaoisapot boko Haram..
na wapiganaji wengi wa Bolo Haram wa natoka katika jamii hiyo.
ni jamii ndogo sana ila wanavurugu balaa
Fulani ni jamii ndogo? North ina makabila makubwa mawili Hausa na Fulani
 
Back
Top Bottom