Nigeria: Boko Haram wachinja wakulima 43

Citizen B Jadili mada iliyotolewa na mtoa hoja, ukitaka kuyajua hayo hapa sio sehemu yake.
FUNGUA UZI WAKO UJUZWE!!​

Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
Basi poa turudi kwenye mada ya Jihad.

Ambayo mtume alisema angependa kuuwawa ili aende mbinguni ili afufuke
apigane mpaka auawe ili afufukue tena ili apigane mpaka auwawe ili afufuke tena.
Ndo utamu wa jihad Ulivyo
Yaani mtu akifa akaenda mbingu ya allah akaona jinsi mujahideen wameandaliwa raha uko atatamani arudi kujiunga boko haram ASAP.
 
Kukaa kimya pia ni jibu dhidi ya mjinga!!
JADILI MADA ILIYOPO

Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
Yaani wewe ni sawa na unaanza chekechea ila unajiona ushamaliza Chuo.
Basi sawa turudi kwenye Mada ya Jihad.
Ambayo wanaoua na wanaouliwa kwa ajili ya Allah watapata thawabu maradufu kwenye mbingu ya Allah.
1.Wanawake mabikra ambao ukimla bikra inajishona upya
2.Wanawake wenye matiti kama Vikombe
3.Wanawake weupee mpaka unaona mifupa.
4.Sehemu ambayo utapata kila mwanamkeunayemtaka hata ukimuomba Rihana a akuja.

Sijuo wanawake wataenda huko kufanya nini
 
Una uhakika na usemalo?
Tukimuweka Warsh na Hafs hapa hatutaona tofauti yoyote kwenye Aya?

Kitabu gani chetu sisi waAlkebukan unachokiongelea?
Je hao unaowataja wanahusika nini na mapokezi ya Quran? Walihusika vipi na uhifadhi wa Quran!? Kumbe mjinga mjinga tu!!

Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
 
Hapa iliyopo hapa haiongelei Jihad, fungua uzi kuhusiana nayo upewe darsa hapa sio mahalo pake.

Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
 
Je hao unaowataja wanahusika nini na mapokezi ya Quran? Walihusika vipi na uhifadhi wa Quran!? Kumbe mjinga mjinga tu!!

Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
Ndomana nasema wewe kama unaanza chekechea tena vidudu kabisa.
Kama hujui Warsh na hafs ni kina nani mdogo wangu rudi madrassa
 
This world is no longer a better place for anyone, binadamu anamchinja binadamu mwenzie bila hata huruma[emoji25][emoji25]
 
Cha ajabu wanapenda kukimbilia nchi zilizostaarabika kama France,germany,UK,Canada etc. ila wakishafika huko wakaanza kuwa wengi wanaanza kutaka iwepo Sharia na wanaanza na kujilipua
Hawa ndugu zetu wameikosesha Sana amani ya dunia,badala ya kutulia sasa wameenda kwenye amani lakini lazima nahuko waanze kuua watu yaani wanahudhunisha na kukera Sana.
 
Ndomana nasema wewe kama unaanza chekechea tena vidudu kabisa.
Kama hujui Warsh na hafs ni kina nani mdogo wangu rudi madrassa
Unajiona mkubwa wakati hata unaemquote humjui!!
Kwa akili yako unajiona unajua wakati hujui chochote! Uislam hausomwi kwenye mitandao....Kawaulize wenzako waliobadili majina yote na bado walitoka kapa.

Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
 
Bwana wewe hapa Boko Haram wamechinja wakulima.
Hiyo ni Jihad mkuu
Kwa mtizamo wako unaona ni hivyo lakini katika Uislam hao hawapo na nimeshakwambia hao ni Khawaarij. Endelea kubisha kiasi cha kuingiza hata yasiyohusiana na mada lakini ukweli ndio huo.

Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
 
Allah akurehemu.
kama hujui uliza kistaarabu utajibiwa kuhusu hafs and warsh ila sio kusema sijui kitu wakati mwenyewe hujui.
Basi em eleza wewe basi maana mimi sijui Warsh na Hafs ni nini?
Kwanini Uthman alichoma maelfu ya Quran?
kwanini Egypt walienda kuzitupa Quran kwenye Nile?
 
Allah unamjua wewe? Huna ulijualo.

Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
 
Kwa mtizamo wako unaona ni hivyo lakini katika Uislam hao hawapo na nimeshakwambia hao ni Khawaarij. Endelea kubisha kiasi cha kuingiza hata yasiyohusiana na mada lakini ukweli ndio huo.

Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
Sasa uzuri mimi siongelei mtizamo wangu mimi naongelea mambo yaliyomo kwenye Hadith na Quran ndomaana nkakuuliza Jihad zipo za aina ngapi ukachenga.

Sasa According to Quran and Hadith walichokifanya hao jamaa Kimewaongezea point ya Akhera.
 
Sijacheza kwasababu labda sijui ila nimechenga upuuzi wako kuhusianisha jihad na kuchinjana tu. Akili yako imestiki kwenye kuchinjana tu kwa kudhani ndio jihad.... Haluna Uislam huo. Na hao unaohisi ni waislam kwa taarifa yako tu wapo nje ya Uislam, nakukumbusha tena unawajua KHAWAARIJ. Au kwa jina jingine Kilabuun nnari (Mbwa wa motoni)
Jikite kwenye mada iliyopo...

Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
 
This world is no longer a better place for anyone, binadamu anamchinja binadamu mwenzie bila hata huruma[emoji25][emoji25]
Sura mbaya Kama roho yako ndio maana Kelvin hakuoi, mtu akapigwa visu viwili moyoni, akafa. Duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…