Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,162
- 2,616
Kwani outer space Kuna mwezi ngapi??🎤Kwingineko bado
Kwa nini bado kiongozi...?Kwingineko bado
Binafsi huwa nashindwa kuelewa kwa sababu Saudi Arabia mwezi ukiandama sehemu nyingine yoyote Duniani huwa hawafungui mpaka uonekane kwao, ila kwa hapa Tanzania Waislam wa Answar Sunnah wanasema ukionekana popote watu wanafungua, lakini Saudia wasipofungua na wao hawafungui hata kama nchi nyingine apart from Saudia utakuwa umeonekana, sasa hapa ndipo nnaposhindwa kuelewa hii concept ya mwezi muandamo.Saudi Arabia ni tar 10 & 11
Si wanasema serikali haina Dini mkuu ?Idi ni public holiday mpaka serikali itangaze kupitia kwa mufti wa nchi husika. Dini ni extended governvement tusubiri tutangaziwa ni lini idi ifanyike
🙏Idi ni public holiday mpaka serikali itangaze kupitia kwa mufti wa nchi husika. Dini ni extended governvement tusubiri tutangaziwa ni lini idi ifanyike
We huoni hizo ifta zinazoandaliwa na taasisi za serikali kipindi hiki? Hicho chakula ni ibada ujue. Subiri siku ya iddi utasikia masheikh wakiongelea mambo ya siasa tupu ndio utajua hao ni wanasiasa wa jukwaa la diniSi wanasema serikali haina Dini mkuu ?
Hapa kwetu si wapo wale extreemists nao wwanakula leo!!!Salaam wakuu.
Nimeshangaa leo kuna mtu amewasiliana na jamaa yake aliyeko Nigeria na kumwambia kuwa The Federal Government imetangaza rasmi kuwa leo ni Sikukuu ya Eid El Fitr.
Tunajua kuwa kwa kawaida hapa nchini kuna watu huwa wanaswali Eid pindi tu mwezi utakapoandama popote pale ulimwenguni, mbona leo sijaona wala kuskia kuwa watu wameswali hapa Tanzania wakati Nigeria mwezi umeonekana wakuu ?
Nawasilisha.
View attachment 2958438
ndio wanasema serikali haina dini ni porojo tu, hizi dini ni milki ya serikali kindakindaki chokoza dini uone utakavyoshughulikiwa kikamilifu. Ina maana serikali haina dini rasmi, dini zote ni za serikali ina mikono yake hukoSi wanasema serikali haina Dini mkuu ?
Wewe ulisikia jana kuwa mwezi umeonekana Nigeria?Salaam wakuu.
Nimeshangaa leo kuna mtu amewasiliana na jamaa yake aliyeko Nigeria na kumwambia kuwa The Federal Government imetangaza rasmi kuwa leo ni Sikukuu ya Eid El Fitr.
Tunajua kuwa kwa kawaida hapa nchini kuna watu huwa wanaswali Eid pindi tu mwezi utakapoandama popote pale ulimwenguni, mbona leo sijaona wala kuskia kuwa watu wameswali hapa Tanzania wakati Nigeria mwezi umeonekana wakuu ?
Nawasilisha.
View attachment 2958438
Nigeria haujaonekana mweziSalaam wakuu.

Hii taarifa umeitoa wap?Salaam wakuu.