Nigeria: MultiChoice yapigwa faini na kutakiwa kurusha Matangazo kwa Wateja mwezi mmoja bila malipo

Nigeria: MultiChoice yapigwa faini na kutakiwa kurusha Matangazo kwa Wateja mwezi mmoja bila malipo

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
1717840300649.png
Mahakama ya Ushindani na Haki za Watumiaji Huduma (CCPT) ya Nigeria, imeitoza kampuni ya Matangazo ya Televisheni ya MultiChoice takriban Tsh. Milioni 282.56 pamoja na kuwapa Wateja wake Kifurushi cha Matangazo ya mwezi mmoja bila malipo.

Uamuzi huo unafuatia malalamiko ya Wateja wa MultiChoice ambayo inaendesha huduma zake kupitia DTSV na GOTV juu ya kupandishwa kwa gharama za Vifurushi kwa 25% kuanzia Mei 2024 ambapo CCPT ilijiridhisha kulikuwa na ukiukwaji wa Haki za Wateja.

Awali, CCPT iliizuia MultiChoice kupandisha bei za Vifurushi lakini kampuni hiyo ilikata rufaa na kupandisha bei wakati shauri likiwa Mahakamani, hivyo uamuzi huo umekuja kama adhabu ya kupuuza agizo la Mahakama.

===========

A Nigerian consumer tribunal fined the local unit of Africa's biggest pay-TV company MultiChoice Group (MCGJ.J), opens new tab 150 million naira ($107,142.86) on Friday for contempt of court and ordered the company to offer its subscribers one month of free service.

MultiChoice, which operates pay-TV services DSTV and GOTV in Nigeria, increased subscription rates by about 25% in May, drawing complaints from subscribers.

The decision by the Competition and Consumer Protection Tribunal (CCPT) followed a lawsuit filed by subscriber Festus Onifade in April, who argued that MultiChoice's eight-day notice before the price hike was insufficient.

Friday's CCPT ruling comes after MultiChoice Nigeria defied a previous order to halt the price increase.

MultiChoice did not immediately respond to a request for comments and its lawyers have not yet indicated whether they will appeal the ruling.

The CCPT subsequently restrained MultiChoice from raising prices on April 29. However, the company challenged the court's jurisdiction and proceeded with the increase.

On Friday, the tribunal led by Justice Thomas Okosu asserted its authority over consumer rights cases and imposed the fine on MultiChoice for defying its order.

REUTERS
 
TZ wajifunze pia yaani haya makampuni yanazidisha sana gharama ,azam walianza na bei nzuri sana ila sasa ni 35,000/= .....DSTV nao wameongeza bei hadi 64,000/= ,Startimes hao hawashikiki 38,000/=
 
Starehe gharama,Kuna chaneli za Bure Tano,angalieni hizo,watu wanunue content we uangalie kwa Bei rahisi!!
 
Back
Top Bottom