Nigeria: Muumini alitaka kanisa lirejeshe pesa zake kwa kuwa hana mpango wa kwenda mbinguni

Nigeria: Muumini alitaka kanisa lirejeshe pesa zake kwa kuwa hana mpango wa kwenda mbinguni

Kweli ukaamini unatoka pesa ili uende Mbinguni? Asipewe hata shilingi ili iwe funzo kwa wengine. Mmeambiwa hizi dini ni utapeli, tena wa kutumia nguvu za Giza.
 
lakini ukiwauliza wanayo sababu ya kufanya hivyo
Sababu ni ipi?

Mie Nijuavyo ni kama nilivyo kuambiwa maana hata wanaojilipuaga ni vijana wa kiume tu. Sasa kama sio kuwahi ahera kupata wanawali mabikira, kuna sababu nyingine?
 
Trust me na huu ugumu wa maisha makanisa / misikiti wakiwapa watu choice ya kuchukua mzigo itabidi wafirisike...

By the way kwani usipotoa uingii (yaani hicho ni kiingilio)
 
Sababu ni ipi?

Mie Nijuavyo ni kama nilivyo kuambiwa maana hata wanaojilipuaga ni vijana wa kiume tu. Sasa kama sio kuwahi ahera kupata wanawali mabikira, kuna sababu nyingine?
Sababu ni kwamba uislamu maana yake ni amani (peace) na watu wake naturally wanakuwa hivyo, watu wa amani huruma na mapenzi lakini ikitokezea kuchokozwa na kudhulumiwa ndio hutokea kama hayo au zaidi

Nitakupa mfano wa Israel na Palestine, Historical hakuna nchi iitwayo Israel, walianza kwa kumega ardhi ya Palastine kipande kipande lakini kila siku zilivyoenda wakaongeza na kuongeza na mpaka kufikia kutangaza nchi iitwayo Israel lakini kama haitoshi sasa wanachukua maeneo muhimu ya Palestina kama Masjid Al Aqswa na kusema ndio makao makuu yao na kuanza kuwapiga waislamu na kuwauwa lakini kuwadhalilisha na kuwazuia kufanya Ibada katika Msikiti mtakatifu ambao history iko wazi kwa Palestine juu ya ardhi yao maeneo yao matukufu ya Ibada.

Kwa sababu hiyo Magharibi wanatumia nguvu kubwa kuipa sapport Israel kwa kila hali kuchukua ardhi ya Palestine na kuipelekea Israel na Palestine kuwa ni uwanja wa vita, waislamu wamekosa haki zao za msingi ndani ya nchi yao. Palestine wanauliwa kila leo kwa udhalilishaji wa hali ya juu sana.

Ndio mana nikasema awwali wako baadhi huamua kufanya hivyo kujifunga mabomu na kuua ingawa sio maamuzi sahihi lakini reason ipo wazi waislamu wanauliwa kinyama na kudhalilishwa maeneo mbali mbali ulimwenguni kwa mitindo kama hiyo.
 
Yupi!?..maana mmoja ana title mbili,yeye mwana na yeye mungu mkuu yaani dingi
Mungu Hana mkuu wake yeye ndo mkuu tuyemwabudu na kumuomba ndo huyo mkuu hatumwabudu mshirika
 
H
Sababu ni ipi?

Mie Nijuavyo ni kama nilivyo kuambiwa maana hata wanaojilipuaga ni vijana wa kiume tu. Sasa kama sio kuwahi ahera kupata wanawali mabikira, kuna sababu nyingine?
Hizo ni fikra mkuu sidhani kama mtu kwa akili tafanya hivo kusudio kupata wanawake , ingekuwa hivo basi hata hapa duniani mtu atahatarisha maisha yake Ili apate mademu(wanawake)
 
Nitakupa mfano wa Israel na Palestine, Historical hakuna nchi iitwayo Israel, walianza kwa kumega ardhi ya Palastine
Umeleta upalestina na uisrael ukajumlisha humo humo na uislam!!

Hivi unajua kuwa hata kabla ya ukristo kuanzishwa Israel ilikuwepo?
Uislam uliotokea uarabuni uliingia Yerusalem kabla ya Israel kuwepo?

Hujui historia Ila upo hapa kushabikia usichokijua.

Uliwahi kusikia Israel inasema Maka ni yao?

Huyo mungu anayepiganiwa na watu wanaojitoa mhanga anatatizo na haiwezekani kamwe kuitwa ni mungu mwenye nguvu

Soma vizuri history.

Nitakupa mfano wa Israel na Palestine, Historical hakuna nchi iitwayo Israel, walianza kwa kumega ardhi ya Palastine
 
Wewe ni dini gani?
Kwa nini maandiko ya hiyo dini unayaita ni fikra tu?

Wenye dini yao wanajua fika wanaume wote wa kiislam kuna zawadi huko ahera watapewa nayo ni kila mmoja atamiliki warembo 70 mabikira.

Kama hujui hiyo ofa basi na uislam haukuhusu, kaa kimya tu.
ingekuwa hivo basi hata hapa duniani mtu atahatarisha maisha yake Ili apate mademu(wanawake)
 
Back
Top Bottom