Nigeria: Muumini alitaka kanisa lirejeshe pesa zake kwa kuwa hana mpango wa kwenda mbinguni

Ok kwahiyo kitabu kinasema wajiue Ili wakapate wanawake warembo? Una uhakika na Hilo mkuu?
 
Nimekuuliza swali hujajibu halafu unakuja na maswali 🙄

Hebu nijibu kwanza ndipo nami nikukibu

Swali ni hili "wewe ni dini gani?
Ok kwahiyo kitabu kinasema wajiue Ili wakapate wanawake warembo? Una uhakika na Hilo mkuu?
 
Sasa huku ni mada nyengine ambayo mwisho wa siku hatutakubaliana tu nadhan tufikie hapa as long as umeelewa waislam ni watu wa amani mpaka pale utakapowaanza
 
Kwani kipindi anazitoa walikubaliana kurudisha. Kama walikubariana kwamba ipo siku atazidai basi apewe chake.
 
Imagine wakajitokeza watu kibao wakaliambia kanisa liwalipe

Yaani jamaa kagairi kwenda peponi na kachagua hell fire [emoji91]
Kuna watu wana dhihaka kwa kweli
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wakiristo wezi tu mali ya babu jinga huliwa ni babu jinga tu
Ni kweli. ni kama waislam ambao hukamuliwa kwenda makka kusali kwenye makaburi utadhani hawana makaburi kwao mbali kuabudia kwa kulibusu jiwe al kaaba kana kwamba hawana wa kubusu mbali na kutozwa zakat anayodai mnigeria
 
Acha matusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…