Nigeria: Mwanaume aomba ushauri kufuatia mke wake kufariki baada ya majibu ya DNA

Nigeria: Mwanaume aomba ushauri kufuatia mke wake kufariki baada ya majibu ya DNA

Mambo yanaumiza haya basi tuu
We ona huku👇👇
 
Daah aisee kama watoto wamekuakua kidogo itawaathiri sana hiyo kitu, hawatakuja msahau mwamba.
Ila sisi wanawake tunazingua kweli, hyo ujue ni dhulma kwa watoto, baba halisi wa watoto na kwa baba mbambikiwa kwan mbambikiwa anajitwisha mzigo usokua wake tena bila hiyara na watoto wanakosa haki za msingi kwa baba yao mzazi na baba mzaz nae ananyima haki ya kulea wanae, toba yake sii mchez, Mungu atuongoze
 
Recently nlisoma post flan ya jamaa mmoja marekani, ye alikua anakomaa kua paternity test ifanyike punde tu mama anapojifungua ili kuondoa hii jam ya kulea vishazi vya wengineo
 
Watu hawapimi sababu ni lazima ila sababu ni muhimu pale mashaka yanapodhihirika.
Huwez ishi ukijidanganya miaka yoye, hiyo hali itakuwa inakutafuna maisha yako yote
ndo muwe mnajiaandaa kisaikolojia sasa incase ukikuta watoto sio wako ujue nini cha kufanya kabisa sio kuanza kusumbua watu
 
Back
Top Bottom