Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
ndo muwe mnajiaandaa kisaikolojia sasa incase ukikuta watoto sio wako ujue nini cha kufanya kabisa sio kuanza kusumbua watu
Mpaka unafika hapo unakuwa umeshajiandaa kisaikolojia. Ila sasa ita depend na muhusika yukoje.
Wengine wako strong mentaly, such thing haiwashtui sana.
But ishu inabaki pale pale, pretend kuwa ww ni mzaz wa watoto wasio wako ili kumaintain fake peace, or take the truth pill?