Nigeria: Mwanaume aomba ushauri kufuatia mke wake kufariki baada ya majibu ya DNA

ndo muwe mnajiaandaa kisaikolojia sasa incase ukikuta watoto sio wako ujue nini cha kufanya kabisa sio kuanza kusumbua watu

Mpaka unafika hapo unakuwa umeshajiandaa kisaikolojia. Ila sasa ita depend na muhusika yukoje.

Wengine wako strong mentaly, such thing haiwashtui sana.
But ishu inabaki pale pale, pretend kuwa ww ni mzaz wa watoto wasio wako ili kumaintain fake peace, or take the truth pill?
 
ikishatokea hivyo ni bora tu mjue mnasolve vipi kuliko kujifanya unapretend halafu mwisho wa siku uwadhuru watoto
 
ikishatokea hivyo ni bora tu mjue mnasolve vipi kuliko kujifanya unapretend halafu mwisho wa siku uwadhuru watoto
Madam usaliti kwenye ndoa ni mbaya sana afu mbaya zaidi unaleta na mtoto kabisa duu.
Kuna dada mmoja alileta uzi humu kuwa ilikuwa one night stand na mbaba mmoja hata hajui sasa yupo wapi ,
Bila kujali akapata na mimba mtoto kuzaliwa baba wa kwenye ndoa anamuita Baba baba , mwishowe moyo ukaanza kumtesha akaamua kumwambia alimsemahe ila akamwambia mtoto huyu sio wangu so pambana wewe mwenye mimi sitahusika kwa lolote kuhusu mtoto huyo hata kwenye urithi na vingine.
 
so sad😔, yani unamtenga mtoto na alishakuzoea kabisa....hakufanya vizuri huyo jamaa angemlea tu kwasababu babake hajulikani hata alipo
 
Kwa hapo kama baba mzazi akiamua kukausha anakausha tu na watoto wataishia kutangatanga tu.
 
ikishatokea hivyo ni bora tu mjue mnasolve vipi kuliko kujifanya unapretend halafu mwisho wa siku uwadhuru watoto

The problem upande wa mwanamke utaluwa tayari kusema ukweli kabla hujafikia level ya vipimo?
 
so sad[emoji17], yani unamtenga mtoto na alishakuzoea kabisa....hakufanya vizuri huyo jamaa angemlea tu kwasababu babake hajulikani hata alipo

Una put blame kwa jamaa wkt all this kaanziaha mama? Every sin has an outcome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…