wakunyonya
JF-Expert Member
- Feb 5, 2024
- 994
- 2,433
Kinzuri zaid usijueKitanda hakizai haram, hamna kukataa watoto ni kuwalea watajua wenyewe mbele ya safari huko
Wengine Huwa wanakuja kuambiwa ukweli wakikua hasa mkija kuwa na uhasama na mama mtu mfano diamondKikubwa mimi ndio naitwa baba na anaitwa kwa jina langu,mengine watajua wenyewe.Mambo mengine mnajitakia presha zisizo na msingi🤣🤣
Kitanda hakizai haram, hamna kukataa watoto ni kuwalea watajua wenyewe mbele ya safari huko
Kikubwa mimi ndio naitwa baba na anaitwa kwa jina langu,mengine watajua wenyewe.Mambo mengine mnajitakia presha zisizo na msingi🤣🤣
Haya bwana ambae unaakili endelea na akili zako.Pengine hata wewe mzee wako alibambikwa(wewe sio mtoto wake pengine) je angekuacha? Na je huyo mzee wako ni zoba? 🤣🤣Akili za hovyo hizi, hivi ndo wanawake hupenda kuwaaminisha wanaume mazoba.
Eti ndio unavyojifariji hivyo.🤣Wanaume mazoba ndio wanao danganywa
Hakuna shaka mzee wangu ndiye baba yangu kinasaba na wanangu ni wangu kinasaba. Haibiwi mtu hapa.Haya bwana ambae unaakili endelea na akili zako.Pengine hata wewe mzee wako alibambikwa(wewe sio mtoto wake pengine) je angekuacha? Na je huyo mzee wako ni zoba? 🤣🤣
Tupambane kutafuta hela.Haya mambo mengine tuachane nayo kwani hatuwezi kupambana nayo bali yataongeza chuki na kusababisha matukio mabaya ambayo tutakujajutia .(You can never beat nature.)Hakuna shaka mzee wangu ndiye baba yangu kinasaba na wanangu ni wangu kinasaba. Haibiwi mtu hapa.
Utafute hela kwa tabu katika mazingira hatarishi, halafu eti, itumike kulelea mtoto wa dume lingine. Kama ume adopt mtoto sawa, lakini siyo kufanywa bwege.Tupambane kutafuta hela.Haya mambo mengine hatuwezi kupambana nayo bali yataongeza chuki na kusababusha matukio mabaya.(You can never beat nature.)