Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ningeipita hii comment bila kusoma ningekosa bonge la ujumbe .Rest In Peace... Tutawaza kumiliki magari na majumba ya kifahari lakini hakika kifo ndio ndoto pekee ambayo kila mmoja wetu atafanikiwa kuitimiza!
Ni kweli kabisa. Na uhamasishaji huu unatakiwa ujumuishe jamii nzima, sio wanawake peke yao.Hili swala la mwanamke kutoka kwenye ndoa zenye domestic violence inahitaji uhamasishaji wa hali ya juu, elimu kwa victim na jamii na maandalizi (akishatoka nini kinafatia, anaenda wapi hasa hasa kama hana kipato chochote)
Ni rahisi kumshauri mtu tu haraka haraka toka, aende wapi
Nyie bwana mnakuwa kama hamjui scenario za mapenzi, kuna wanawake ni ving'ang'anizi kiasi kwamba wapo tayari hata kuuliwa ilimradi tu wasiachwe.Hili swala la mwanamke kutoka kwenye ndoa zenye domestic violence inahitaji uhamasishaji wa hali ya juu, elimu kwa victim na jamii na maandalizi (akishatoka nini kinafatia, anaenda wapi hasa hasa kama hana kipato chochote)
Ni rahisi kumshauri mtu tu haraka haraka toka, aende wapi
Hunishindi mimi, hasa ukizingatia hizi taarifa zinazisema kidfo chake kimesababishwa na domestic violence, hivi kwa nini hakuondoka kwenye hiyo ndoa na kwa ni i hakutaka watu wajue kwamba anapitia ukatili?Duh,roho imeniuma
Imenihuzunisha sana, mpaka watoto wake wamezungumza mambo mazito kuhusu unyanyasaji aliopitia mama, huyo mume amekamatwa lakini bado naona kama haitoshiInavyosemekana sio kansa iliyomuua bali kipigo kutoka kwa mumewe alimpiga kifuani akawa kwenye life support mpaka umauti unamkuta. Katika ndoa yake amepitia vipigo na unyanyasaji toka kwa mumewe. Account za baadhi ya wanaijeria wamefunguka mengi ambayo tulikuwa hatujui
Hiyo Avatar yako imenikumbusha kitu.Hunishindi mimi, hasa ukizingatia hizi taarifa zinazisema kidfo chake kimesababishwa na domestic violence, hivi kwa nini hakuondoka kwenye hiyo ndoa na kwa ni i hakutaka watu wajue kwamba anapitia ukatili?
Hebu ntonye na mimi hicho ukituHiyo Avatar yako imenikumbusha kitu.
This is beyond imagination, kwa sababu yeye sio tu alikua anatendewa ukatili ila mume alimfanya mtumwa, alikua anakula kwa mgongo wa mkewe huku akimnyima hata mia inayopatikana kwa kazi yake ya uimbaji, anafukuza hadi ndugu wa mke na mama mzazi wanapokuja kusalimia, he was overcontrol of his wife, kuna video moja nimeona mtoto anasema baba alimfukuza mama ndani akamwambia awe analalala kwenye nyumba ambayo haijaezekwaNyie bwana mnakuwa kama hamjui scenario za mapenzi, kuna wanawake ni ving'ang'anizi kiasi kwamba wapo tayari hata kuuliwa ilimradi tu wasiachwe.
Kuna mdada mwanamke mmoja alikuwa anapigwa kipigo kikali nadhani kila week ni lazima kuna siku abweke, ila ukienda na ushauri wa amuache mmewe mnakuwa maadui wakubwa.
Niseme tu wanawake ni viumbe dhaifu unaoweza kufawafanya unachotaka oale wanapopenda.
Kupenda kwa wanawake ndo kumewafanya wajikute hata wanalazimika kufanya vitu ambavyo hawakuwahi kufikiria kuvifanya ili tu wawatunze wanaume wao, kwa swala mfano kugeuzwa nyuma, kujilengesha mimba zinazopelekea wawe single mothers na mengine mengi.
Mmmh sasa hapo kulikuwa na mshusiano kweli? Nadhani huyo jamaa alikuwa na insecurities kiasi kwamba umaarufu wa mkewe ulimfanya awe na wivu kupitiliza.This is beyond imagination, kwa sababu yeye sio tu alikua anatendewa ukatili ila mume alimfanya mtumwa, alikua anakula kwa mgongo wa mkewe huku akimnyima hata mia inayopatikana kwa kazi yake ya uimbaji, anafukuza hadi ndugu wa mke na mama mzazi wanapokuja kusalimia, he was overcontrol of his wife, kuna video moja nimeona mtoto anasema baba alimfukuza mama ndani akamwambia awe analalala kwenye nyumba ambayo haijaezekwa
Honestly kama haya yanayosemwa ni kweli natamqni sana kujua historia ya huyo mwanaume kuanzia utoto wake, inawezekana kuna malezi amepitia ambayo ndio matokeo ya hiyo tabia yake
Kuna mdada alikuwa anapenda sana kujiita skyla, she was my girlfriend at school miaka fulani ila tulipotezana.Hebu ntonye na mimi hicho ukitu
Nyie bwana mnakuwa kama hamjui scenario za mapenzi, kuna wanawake ni ving'ang'anizi kiasi kwamba wapo tayari hata kuuliwa ilimradi tu wasiachwe.
Kuna mdada mwanamke mmoja alikuwa anapigwa kipigo kikali nadhani kila week ni lazima kuna siku abweke, ila ukienda na ushauri wa amuache mmewe mnakuwa maadui wakubwa.
Niseme tu wanawake ni viumbe dhaifu unaoweza kufawafanya unachotaka oale wanapopenda.
Kupenda kwa wanawake ndo kumewafanya wajikute hata wanalazimika kufanya vitu ambavyo hawakuwahi kufikiria kuvifanya ili tu wawatunze wanaume wao, kwa swala mfano kugeuzwa nyuma, kujilengesha mimba zinazopelekea wawe single mothers na mengine mengi.
Pole sanaKuna mdada alikuwa anapenda sana kujiita skyla, she was my girlfriend at school miaka fulani ila tulipotezana.
Sio insecurity ni matatizo ya akili,a real man would never treat a woman as suchMmmh sasa hapo kulikuwa na mshusiano kweli? Nadhani huyo jamaa alikuwa na insecurities kiasi kwamba umaarufu wa mkewe ulimfanya awe na wivu kupitiliza.