Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Nadhani pia alikuwa anampenda sana huyo jamaa, bila kuwepo penzi la kweli juu ya mwanaume fulani hakuna mwanamke ambae angevumilia mateso ya kiwango hicho, tena kwa pesa zake mwenyewe.Upo sahihi. Osinachi alianza pata mateso mapema sana alishawahi kurudi kwao kisa kipigo akiwa katoka kujifungua mtoto wa pili,ila mume na wapambe wakaenda kuomba msamaha kuwa kajirekebisha. Osinachi akarudi,tangia hapo akawa hasemi matatizo yanayompata huku akijipa matumaini ipo siku mume atabadilika
Just imagine anatimuliwa kupanda gari lake mwenyewe eti atembee kwa miguu au apande baiskeli
Wengi wanavumilia ndoa za mateso ili mradi aendelee kuonekana ana ndoa na kuogopa jamii itamsema vibaya
Hili swala la kuijuliza jamii itakuchukuliaje liwamaliza wanandoa wengi, na sio wanawake tu. Utasikia mume auliwa na mkewe kwa kupigwa na kitu chenye ncha kichwani akiwa usingizini, hayo hayaji suddenly ni matokeo ya hasira zenye malimbikizi ya muda mrefu.