TANZIA Nigeria: Sis Osinachi Nwachukwu aliyeshirikishwa wimbo wa ‘Ekwueme’ afariki dunia

Nadhani pia alikuwa anampenda sana huyo jamaa, bila kuwepo penzi la kweli juu ya mwanaume fulani hakuna mwanamke ambae angevumilia mateso ya kiwango hicho, tena kwa pesa zake mwenyewe.

Hili swala la kuijuliza jamii itakuchukuliaje liwamaliza wanandoa wengi, na sio wanawake tu. Utasikia mume auliwa na mkewe kwa kupigwa na kitu chenye ncha kichwani akiwa usingizini, hayo hayaji suddenly ni matokeo ya hasira zenye malimbikizi ya muda mrefu.
 
You are the living God O!
Eze, no one like you

Dha, hii nyimbo nilikua napenda kuisikiliza asubuhi kabla sijatoka nyumbani. Ilikua inanifanya na kuwa na hofu ya mungu, iliniepusha sana na vishawishi vya dhambi

R.I.P
Sijawahi kuuchoka wimbo huu wa EKWUEME na una upako wa hali ya you sana na kwangu ni the best Gospel song ever...yaani ni my favourite track of all the time
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…