Nigeria: Waziri wa Elimu Tunji Alausa apiga marufuku waliopata shahada za heshima kutumia title ya "Dr"

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Serikali ya Shirikisho la Nigeria imepiga marufuku watu waliotunukiwa shahada za heshima kutumia jina la “Dr” mbele ya majina yao katika matumizi rasmi, kitaaluma au kikazi.

Waziri wa Elimu wa Nigeria, Tunji Alausa, alisema kutumia cheo hicho kana kwamba mtu amekipata kupitia masomo rasmi kutachukuliwa kama udanganyifu wa kitaaluma na kunaweza kuleta madhara ya kisheria pamoja na kuharibu sifa ya mhusika.

Waziri Alausa ameeleza

"Tumeona ongezeko la matumizi mabaya ya fadhila hii ya kitaaluma. Tuzo hizi zimekuwa zikitumiwa kama rushwa ya kisiasa na hata kupewa viongozi waliopo madarakani, jambo ambalo ni kinyume na maadili ya elimu," alisema Waziri Alausa.

Chini ya sera hii mpya iliyopitishwa na Baraza la Mawaziri (FEC), mhusika hapaswi kuwekewa "Dr" mbele ya jina lake. Badala yake, sifa hiyo itatajwa baada ya jina kamili ili kuonyesha kuwa ni ya heshima na si ya kusomea.

Kwa mfano:
  • Haitumiki tena: Dr. Louis Clark.
  • Inavyopaswa kuwa: Chief Louis Clark, D.Lit. (Honoris Causa)

==============================

naija.png

The Federal Government on Wednesday banned recipients of honorary degrees from prefixing “Dr” to their names in official, academic, or professional usage.

It declared that the use of the title by such recipients constitutes a misrepresentation of academic credentials, which will henceforth be treated as academic fraud, with attendant legal and reputational consequences.

The Minister of Education, Tunji Alausa, disclosed this on Wednesday at the Presidential Villa, Abuja, while briefing State House correspondents on two Federal Executive Council approvals that had not been announced at the last cabinet meeting, which held on April 30.

Alausa, who appeared alongside the Minister of State for Education, Prof Suwaiba Ahmad, said the FEC approved a uniform policy for the award and use of honorary degrees by Nigerian universities.

The policy, he explained, is designed to end what he described as decades of indiscriminate conferral of degrees for political patronage and financial gain, and to restore public confidence in the integrity of academic titles.

He said, “The recent trend we’ve seen with the award of honorary degrees has revealed a growing abuse and politicisation of this academic privilege.

“We’ve seen awards being used for political patronage, for financial gain, as well as the conferral of awards on serving public officials, which, as part of the ethics of honorary degree awards, should not happen.”

Under the new policy, recipients of honorary degrees may no longer put “Dr” before their names.

Instead, they must cite the full honorary designation after their name.

Giving examples, Alausa explained, “For instance, you can use Chief Louis Clark, D.Lit. (Doctor of Literature, Honoris Causa)” or “Mrs Miriam Adamu, LL.D. Hons.”

Alausa said this format clearly reflects the honorary rather than earned academic nature of the award.

“Recipients shall not prefix doctor to their names in official, academic or professional usage,” the minister said, adding, “Misrepresentation of honorary degrees as earned academic credentials shall be considered academic fraud and subject to legal and reputational consequences.”

The policy also restricts the types of honorary degrees Nigerian universities can confer to four: Doctor of Laws (LL.D), Doctor of Letters (D.Lit), Doctor of Science (D.Sc), and Doctor of Humanities (D.Arts).

Source: Punch Nigeria
 
View attachment 3587033

Sasa hawa Madokita wetu itakuwaje? Lucasi Mshamba umewasikia hawa?? Tuvunje huu muungano wa wa Africa ishakuwa wanatuonea wivu?? Hivi Nyerere mbona hajawahi it was Dokita.
 
Huku kukiwa na wasiwasi unaoongezeka kuhusu matumizi mabaya ya hati miliki na upotoshaji hadharani, serikali ya shirikisho imeanzisha marufuku inayowazuia wenye shahada za heshima nchini Nigeria kutumia kiambishi awali cha "Dr".

Tunji Alausa, waziri wa elimu, alitangaza haya Jumatano mjini Abuja alipokuwa akiwafahamisha waandishi wa habari wa ikulu kuhusu vibali viwili vya Baraza Kuu la Shirikisho ambavyo havikuwa vimetangazwa katika mkutano uliopita wa baraza la mawaziri, uliofanyika Aprili 30.

Alisisitiza kwamba serikali ya shirikisho imepiga marufuku wapokeaji wa shahada za heshima kutumia kiambishi awali "Dk" kwenye majina yao katika matumizi rasmi, kitaaluma, au kitaaluma.

Nyongeza yangu:
Na huku tutafika tu hawa wababaifu wakishavuka maji kurudi kwao.

Kama mtu ni Sa100 aridhike tu kutambulika hivyo, vinginevyo angependa kwenda shule badala ya kusoma elimu mbalimbali.
 
Attachments

  • IMG_8396.jpeg
    IMG_8396.jpeg
    372.7 KB · Views: 19

Ana bahati nchi yake haina Rais mwenye elimu ya kuungaunga kama Rais wa Banana Republic!
 
Serikali ya Shirikisho la Nigeria imepiga marufuku watu waliotunukiwa shahada za heshima kutumia jina la “Dr” mbele ya majina yao katika matumizi rasmi, kitaaluma au kikazi.

Waziri wa Elimu wa Nigeria, Tunji Alausa, alisema kutumia cheo hicho kana kwamba mtu amekipata kupitia masomo rasmi kutachukuliwa kama udanganyifu wa kitaaluma na kunaweza kuleta madhara ya kisheria pamoja na kuharibu sifa ya mhusika.

Waziri Alausa ameeleza

"Tumeona ongezeko la matumizi mabaya ya fadhila hii ya kitaaluma. Tuzo hizi zimekuwa zikitumiwa kama rushwa ya kisiasa na hata kupewa viongozi waliopo madarakani, jambo ambalo ni kinyume na maadili ya elimu," alisema Waziri Alausa.

Chini ya sera hii mpya iliyopitishwa na Baraza la Mawaziri (FEC), mhusika hapaswi kuwekewa "Dr" mbele ya jina lake. Badala yake, sifa hiyo itatajwa baada ya jina kamili ili kuonyesha kuwa ni ya heshima na si ya kusomea.

Kwa mfano:
  • Haitumiki tena: Dr. Louis Clark.
  • Inavyopaswa kuwa: Chief Louis Clark, D.Lit. (Honoris Causa)

==============================

View attachment 3587033

The Federal Government on Wednesday banned recipients of honorary degrees from prefixing “Dr” to their names in official, academic, or professional usage.

It declared that the use of the title by such recipients constitutes a misrepresentation of academic credentials, which will henceforth be treated as academic fraud, with attendant legal and reputational consequences.

The Minister of Education, Tunji Alausa, disclosed this on Wednesday at the Presidential Villa, Abuja, while briefing State House correspondents on two Federal Executive Council approvals that had not been announced at the last cabinet meeting, which held on April 30.

Alausa, who appeared alongside the Minister of State for Education, Prof Suwaiba Ahmad, said the FEC approved a uniform policy for the award and use of honorary degrees by Nigerian universities.

The policy, he explained, is designed to end what he described as decades of indiscriminate conferral of degrees for political patronage and financial gain, and to restore public confidence in the integrity of academic titles.

He said, “The recent trend we’ve seen with the award of honorary degrees has revealed a growing abuse and politicisation of this academic privilege.

“We’ve seen awards being used for political patronage, for financial gain, as well as the conferral of awards on serving public officials, which, as part of the ethics of honorary degree awards, should not happen.”

Under the new policy, recipients of honorary degrees may no longer put “Dr” before their names.

Instead, they must cite the full honorary designation after their name.

Giving examples, Alausa explained, “For instance, you can use Chief Louis Clark, D.Lit. (Doctor of Literature, Honoris Causa)” or “Mrs Miriam Adamu, LL.D. Hons.”

Alausa said this format clearly reflects the honorary rather than earned academic nature of the award.

“Recipients shall not prefix doctor to their names in official, academic or professional usage,” the minister said, adding, “Misrepresentation of honorary degrees as earned academic credentials shall be considered academic fraud and subject to legal and reputational consequences.”

The policy also restricts the types of honorary degrees Nigerian universities can confer to four: Doctor of Laws (LL.D), Doctor of Letters (D.Lit), Doctor of Science (D.Sc), and Doctor of Humanities (D.Arts).

Source: Punch Nigeria
Mambo mengine ni utoto tu.

Tanzania kuna watu wengi ambao ni wavivu wa kusoma hasa wanasiasa ila wanapenda kuwa na titles za kisomi.
 
kumbe huwa wanazinunua, hivyo basi hata ile ya juzi tanzagiza iliyopewa waliinunua pia, kweli njia ya muongo ni fupi, ona sasa wanavyoanikwa, duh …
 
Samuya akienda huko anaitwa form four failure.
 
Kuna bwana mmoja kutoka chuo cha UDSM phD holder wakusomea kabisa aliandika jina lake na prefix za Dr kwenye manifest ya ndege, kutoka Switzerland kwenda Spain
Safarini kuna abiria alijisikia vibaya hivo air hostess alimfata huyu bwana na kumuambia “Samahani wewe ni Dr. tunaomba msaada kuna mgonjwa ana hali sio ya kawaida,
Kubangaiza huku na kule mmatumbi akasema yeye sio Doctor MD ni Dr PhD yule mdada akawa hamuelewi tofauti ni nini, akakomaa nae kwamba Dr mmekula kiapo cha kuokoa watu tafadhali njo umsaidie huyu abiria tafadhali
Mmatumbi mwenzangu akabaki na AIBU ya kutumia Dr huku cheti chake cha kuzaliwa hakina Dr na mbaya zaidi Hizo nchi wanatambua Dr kama daktari wa watu
Yule mwalimu wa UDSM aliacha kutumia hizo initial toka wakati huo akitoka nje ya Tanganyika
Ipo siku Singapore watamuita Dr Tale aje atoe huduma ya kwanza airport nakuambieni
 
Sasa hawa Madokita wetu itakuwaje? Lucasi Mshamba umewasikia hawa?? Tuvunje huu muungano wa wa Africa ishakuwa wanatuonea wivu?? Hivi Nyerere mbona hajawahi it was Dokita.
Daaah 😁. Hivi nigeria hawa hawa si ndo wamempa Samia Udokta few days ago ?
 
Soni useless 🚮
 
Tunaye hapa wa ELIMU MBALIMBALI kutoka Pakistani college of kanzu and barakashia maintanance ana pihechidiii ya upasuaji kutoka muhas
 
Back
Top Bottom