Nigeria yawazimia umeme Niger kama kikwazo cha ECOWAS

Nigeria yawazimia umeme Niger kama kikwazo cha ECOWAS

I am Groot

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
3,929
Reaction score
10,747
Nigeria imezima umeme iliokuwa inapeleka nchini Niger ikiwa ni sehemu ya vikwazo vya ECOWAS kupinga mapinduzi ya kijeshi.

Kwa mujibu wa AFP, asilimia 70 ya umeme unaotumika Niger unatoka nchini Nigeria.

Chanza: swahilitimes
 
Huyu jamaa mnaemsifia ni swala la muda atageukwa Hadi ashangae ..... Jeshi haijawahi kuongoza likafanikiwa hasa Kwa mfumo wa mapinduzi

Kwa maana rahisi Hilo jeshi limeganyika vipande.

Niswala la muda tu ngaja njaa iwaingie raia
 
Mzuka wanajamvi!

Miji mikubwa ya Niger ikiwemo mjii mkuu Niamey kumeanza ghafla kuwa na shida na umeme kwaanzia jana.

Inasemekana Nigeria imeamua kimya kimya kutoipelekea umeme Niger kwani Niger inategemea nishati na umeme kutoka Nigeria.

Japo Nigeria pamoja na ECOWAS kuiwekea vikwazo vya uchumi "sankshen" lakini hawajaweka wazi kuwakatia umeme.

Ni Wakati sasa utawala huu wa kijeshi kuweka umeme wao kutumia Wagner.
 
Wao wazime, ila Niger hairudi mikononi mwa Mfaransa.

Mfaransa nasikia anataka kuivamia kijeshi akiungana na ECOWAS vibaraka , Wasithubutu .

Afrika inaendelea kujiokoa Toka mikonoan mwa wakoloni.

Nashangaa, Waafrika, tunafanyiana Roho mbaya, Huyu Tunubu ni Kibaraka Pro!!.
 
Huku ni kuhama kutoka mkoloni mmoja kwenda mwingine. Wagner ni mamluki wa Urusi walio na kazi ya uporaji wa mali na uuzaji haramu wa silaha.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Huku ni kuhama kutoka mkoloni mmoja kwenda mwingine. Wagner ni mamluki wa Urusi walio na kazi ya uporaji wa mali na uuzaji haramu wa silaha.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Na mrusi ni mkoloni mbaya sana sana!; anakulaga bila kunawa tena kwa mikono miwili!
Ni bash ambaye anasukuma kavu kavu bila kilainishi
 
Wao wazime, ila Niger hairudi mikononi mwa Mfaransa.

Mfaransa nasikia anataka kuivamia kijeshi akiungana na ECOWAS vibaraka , Wasithubutu .

Afrika inaendelea kujiokoa Toka mikonoan mwa wakoloni.

Nashangaa, Waafrika, tunafanyiana Roho mbaya, Huyu Tunubu ni Kibaraka Pro!!.
Nilikuwa na Mzungu mmoja hivi tunakula gambe.. kwenye story zetu akawa ananiambia Kuna baadhi ya mataifa ya ulaya bado wananyonya Afrika.. yeye alikuwa anatoka ujerumani
 
Nilikuwa na Mzungu mmoja hivi tunakula gambe.. kwenye story zetu akawaanania Kuna baadhi ya mataifa ya ulaya bado wananyinya Afrika.. yeye alikuwa anatoka ujerumani
Hili liko wazi wazi, na wala siyo Ulaya tu. Watu wanasahau biashara za Wahindi na Waarabu. Kuanzia scandal za Loliondo, twiga. biashara za mazao kama mchele, korosho na mbaazi zimekuwa zikiwanufaisha Waasia kulikwa Waafrika. Ukitaka kudeal na kitu, fanya kwa ujumla wake.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom