Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Let me give you facts:We jamaa nimekwambia acha kutupatia story za wazungu zilizotungwa zikawekwe shuleni za kiafrika kuwazuga fuatilia historia ya africa ya ukweli utajua vizuri mambo yakoje
Hivi ww duniani hapa nchi zote zilizoendelea hazitumii mfumo wa democrasia hata hiyo marekani unayoiona kwa jicho la kwaida utaona inatumia democrasia ila kwa jicho la kijasusi pale hamna democrasia soma saana mkuu naona unakuwa mchanga sana kwenye historia. Nchi nyingi zilzo na democrasia hazina maendeleo.
Rwanda tu hapa imejificha kwenye democrasia ila ni dictatorship iliyokomaa ona tu maendeleo yake. all in all democrasia inachelewesha sana maendeleo hasa afrika.
Demokrasia haikuanza West kwa wazungu,ilianza medieval Greece karne nyingi huko nyuma na Europe wakaanza kuitumia karne ya 18,19,20 na sasa 21
So far the best system to organize and society to rule itself ni DEMOCRACY na sio hizo military dictatorships unazotetea ujinga wake hapa
Another fact,chuki zako kwa wazungu hapo hapo unawapenda mabepari kutoka East kama China na Russia ni ujinga,kataa wote maana wote ni wanyonyaji!
Let me debunk Rwanda biggest lie:
Rwanda ni dictatorship eti ina maendeleo zaidi ya democratic country of the same size and nature,NEVER!Ukweli ni kwamba Botswana ina demokrasia nzuri na iliyokomaa na ina mazingira ya watu na land size kama Rwanda ila ina maendeleo na uchumi bora na hali bora ya maisha ya watu mmoja mmoja mara tatu ya Rwanda....
Usilete sababu ya "maendeleo" kuhalalisha dictatorship mbwa nyie