Nigeria yawazimia umeme Niger kama kikwazo cha ECOWAS

Huyu jamaa mnaemsifia ni swala la muda atageukwa Hadi ashangae ..... Jeshi haijawahi kuongoza likafanikiwa hasa Kwa mfumo wa mapinduzi

Kwa maana rahisi Hilo jeshi limeganyika vipande.

Niswala la muda tu ngaja njaa iwaingie raia
Weweeeee! Hujafanya uchambuzi wa kutosha. Misri kiongozi aliyepo madarakani Gen. Al Asisi aliingia kwa mapinduzi, Hosni Mubara aliingia kwa mapinduzi, Babu yeru hapo jirani Museveni aliingia kwa Mapinduzi, Gen Kagame n.k.

Kwa ufupi nchi zilizoendeshwa kijeshi zimewahi kuwa maendeleo ya haraka. Mfano mzuri ni Misri, Libya ya Gadafi, Ethiopia ya Mengistu na Zenawi n.k
 
Maendeleo ya ghafla ila matokeo yake?
Wamefanya nchi kuwa zao. Na ili watoke inabidi watolewe kwa mtutu wa bunduki. Ni nchi ambazo muda wwte kunaweza kuibuka vita ya kugombea madaraka.
 
Huyu jamaa mnaemsifia ni swala la muda atageukwa Hadi ashangae ..... Jeshi haijawahi kuongoza likafanikiwa hasa Kwa mfumo wa mapinduzi

Kwa maana rahisi Hilo jeshi limeganyika vipande.

Niswala la muda tu ngaja njaa iwaingie raia
Unamjua kagame si mwanajeshi
 
Back
Top Bottom