Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
NDIYO
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NDIYO
Flight lieutenant Jerry Rawlings wa Ghana, alipindua mara ya kwanza akarekebisha mambo akarejesha utawala kwa raia. Wakaboronga tena. Akapindua mara ya pili, akatawala wee hadi kustaafu!Jeshi haijawahi kuongoza likafanikiwa hasa Kwa mfumo wa mapinduzi
Kwani ni uwongo. Ni hao hao Nigeria tuuu!Hata Tanzania jana umeme ulikuwa unasumbua, inawekana na Nigeria wamekata🤔
Ni habari njema mno maana yake nchi itaenda kujitegemea kwa kuzalisha umeme wake.Nigeria imezima umeme iliokuwa inapeleka nchini Niger ikiwa ni sehemu ya vikwazo vya ECOWAS kupinga mapinduzi ya kijeshi.
Kwa mujibu wa AFP, asilimia 70 ya umeme unaotumika Niger unatoka nchini Nigeria.
Chanza: swahilitimes
ndiyo ujue mtegemea cha nduguye hufa maskiniNigeria imezima umeme iliokuwa inapeleka nchini Niger ikiwa ni sehemu ya vikwazo vya ECOWAS kupinga mapinduzi ya kijeshi.
Kwa mujibu wa AFP, asilimia 70 ya umeme unaotumika Niger unatoka nchini Nigeria.
Chanza: swahilitimes
Tatizo la Ufaransa ni la Niger na wananchi wake sio la NigeriaNigeria wangese sana. Ukiangalia hii picha yote anatuchezesha mfaransa kwa niaba yake.
Madogo hawasomi historia.Flight lieutenant Jerry Rawlings wa Ghana, alipindua mara ya kwanza akarekebisha mambo akarejesha utawala kwa raia. Wakaboronga tena. Akapindua mara ya pili, akatawala wee hadi kustaafu!
Ecowas ni shirikisho la kise,nge ndio maana wase.nge wa Ulaya na Marekani na wengine wa Afrika wanalipenda sana.Tatizo la Ufaransa ni la Niger na wananchi wake sio la Nigeria
Kinachotakiwa ni wananchi wa Niger wajitawale wao kwa matakwa yao wao kwa kupigia kura wanaemtaka awaongoze na muda wake ukiisha waweke mwingine wanaemtaka
Tatizo la jeshi ni kwamba anaejisikia ana mapafu huko jeshini kwa hiyari yake na kwa lazima ana-impose himself on citizens by force bila kupigiwa kura wala nini,maana yake the citizens didnt elect him,hivyo by default huyo ni haramu.
Kibaya zaidi huyu Traore aliejiingiza madarakani kwa uamuzi wake binafsi wananchi wakimchoka watamuondoaje kwa amani?Hakuna military dictator anaondoka kwa amani ni lazima damu imwagike,
Hii system ya mtu kujiamulia yeye ni rais na kutawala watu kwa lazima yake sio system
Akiachwa huu mtindo utaenea na nchi zote zitatawaliwa na watu kutoka jeshi kwa mapinduzi na kuwaondoa haiwezekani mpaka kwa hiyari yake
Nchi haziendeshwi kwa hiyari ya mtu mmoja,zinaendeshwa kwa mifumo,na mfumo tulijichagulia ni wa Kidemokrasia
ECOWAS ina haki ya kufukuza military dictators wote wananchi wajichagulie viongozi wao kwa mifumo ya kikatiba na sio huu ujinga wa mtu mmoja
In a long term view hii inakaribisha mapinduzi nchi zingine zote,mifumo ya kikatiba inaondoka,democrasia inaondoka,inabaki utashi wa lijitu limoja lililojiamulia huko jeshini
Haijalishi huyo mwanajeshi ana nia njema kiasi gani,mtindo huu ukileta dikteta mbaya kama Idd Amini,mtamuondoaje maana hakuna kitu kinaitwa katiba wala uchaguzi?
ECOWAS fukuza huu ujinga kabisa
Mfumo wa Kidemokrasia mlijichagulia wewe na nani ?Tatizo la Ufaransa ni la Niger na wananchi wake sio la Nigeria

SijakuelewaEcowas ni shirikisho la kise,nge ndio maana wase.nge wa Ulaya na Marekani na wengine wa Afrika wanalipenda sana.
Ecowas haipo ku serve interest za wananchi wa nchi wanachama, since time immemorial Ecowas inafanya kazi kubwa ya kuzirudisha madarakani tawala za kihuni ambazo kwa namna moja au nyingine huingia madarakani kuja kulinda maslahi ya nchi magharibi ambazo zimeendelea kuzinyonya nchi za kìafrica huku wananchi wakiendelea kutesekaSijakuelewa
Una evidence gani ya kusema ECOWAS ni shirikisho la kisenge na EAC au SADCC sio mashirikisho ya kisenge?
Na umetumia hoja gani kutoa hiyo hukumu?
Mkuu,tunachotaka ni mfumowa kuingiza mtu na kumtoa madarakani bila hiyari au utashi wa mtu mmoja
Traore,una uhakika gani atatoka madarakani?Kwa sheria ipi au demokrasia ipi inambana?Hakuna,ni mpaka yeye "huruma" yake binafsi,na tukifika hapo hatuna nchi wala hatuna mfumo hapo tuna upumbavu
MkuuMfumo wa Kidemokrasia mlijichagulia wewe na nani ?
Kabla ya kuja mabwana zenu wakoloni, tawala karibia zote za Afrika zilikuwa zinaongozwa na wafalme au Malkia. Uliona wapi mfalme anapigiwa kura.
Hizi ni tuhuma,udhibitisho hunaEcowas haipo ku serve interest za wananchi wa nchi wanachama, since time immemorial Ecowas inafanya kazi kubwa ya kuzirudisha madarakani tawala za kihuni ambazo kwa namna moja au nyingine huingia madarakani kuja kulinda maslahi ya nchi magharibi ambazo zimeendelea kuzinyonya nchi za kìafrica huku wananchi wakiendelea kuteseka
Hivi ww unajua unachokiongea au inajua unachokiandika au unaandika tu kisa una smartphone ya kuingia JF. Au kisa umesoma history ya kubumba ile ya darasani take care rudi darasani mkuuSijakuelewa
Una evidence gani ya kusema ECOWAS ni shirikisho la kisenge na EAC au SADCC sio mashirikisho ya kisenge?
Na umetumia hoja gani kutoa hiyo hukumu?
Mkuu,tunachotaka ni mfumowa kuingiza mtu na kumtoa madarakani bila hiyari au utashi wa mtu mmoja
Traore,una uhakika gani atatoka madarakani?Kwa sheria ipi au demokrasia ipi inambana?Hakuna,ni mpaka yeye "huruma" yake binafsi,na tukifika hapo hatuna nchi wala hatuna mfumo hapo tuna upumbavu
We jamaa nimekwambia acha kutupatia story za wazungu zilizotungwa zikawekwe shuleni za kiafrika kuwazuga fuatilia historia ya africa ya ukweli utajua vizuri mambo yakojeMkuu
Naomba tuelewane
As human beings tuna evolve from barbaric way of living and way of governing ourselves
Beyond anything else mfumo wa kidemokrasia ni best method for human beings organizing and governing themselves.
Kila kitu unadhani Westerners ndio wameanzisha,mfumo wa demokrasia ulianza Greece karne nyingi kabla ya kwenda Europe,ambapo Europe yote ilitawaliwa na Wafalme kama huku kwetu Africa.
Usije wasingizia Westerners kila kitu.
By the way yaani kwa definition yako anything coming from the West ni kibaya?
Like really?
Kwahiyo mbadala wa Democracy ni kenge yeyote anaejisikia huko jeshini na kabunduki kake achukue madaraka kwa hiyari yake na kutoka madarakani ni mpaka huruma yake binafsi?
Katiba haina maana tena chenye maana ni mapumbavu yaliyofeli form four yaliyopo jeshini ndio yaanze kututawala bila hiyari yetu?
Demokrasia ina mapungufu yake makubwa,ila dictatorship ni more lethal than anything
hebu tuache kushabikia upumbavu
Promissory note hujaiona?
ataanza kuwajengea mtambo wa kufua umemeTena hayo ni mambo madogo sana Kwa Russia ni suala la muda tu.
Ni vizuri ukapambana na hoja nilizoweka mezani kuliko kuanza vitisho eti watu wasiandike chochote sababu umeamua wewe!Hivi ww unajua unachokiongea au inajua unachokiandika au unaandika tu kisa una smartphone ya kuingia JF. Au kisa umesoma history ya kubumba ile ya darasani take care rudi darasani mkuu