I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Ulitaka wafanye nini Niger ?Huyu jamaa mnaemsifia ni swala la muda atageukwa Hadi ashangae ..... Jeshi haijawahi kuongoza likafanikiwa hasa Kwa mfumo wa mapinduzi
Kwa maana rahisi Hilo jeshi limeganyika vipande.
Niswala la muda tu ngaja njaa iwaingie raia
Viva RussiaNigeria imezima umeme iliokuwa inapeleka nchini Niger ikiwa ni sehemu ya vikwazo vya ECOWAS kupinga mapinduzi ya kijeshi.
Kwa mujibu wa AFP, asilimia 70 ya umeme unaotumika Niger unatoka nchini Nigeria.
Chanza: swahilitimes
Tena hayo ni mambo madogo sana Kwa Russia ni suala la muda tu.
Huku ni kuhama kutoka mkoloni mmoja kwenda mwingine. Wagner ni mamluki wa Urusi walio na kazi ya uporaji wa mali na uuzaji haramu wa silaha.Wao wazime, ila Niger hairudi mikononi mwa Mfaransa.
Mfaransa nasikia anataka kuivamia kijeshi akiungana na ECOWAS vibaraka , Wasithubutu .
Afrika inaendelea kujiokoa Toka mikonoan mwa wakoloni.
Nashangaa, Waafrika, tunafanyiana Roho mbaya, Huyu Tunubu ni Kibaraka Pro!!.
Kwa taarifa yako Kagame na Museveni ni wanajeshi.Huyu jamaa mnaemsifia ni swala la muda atageukwa Hadi ashangae ..... Jeshi haijawahi kuongoza likafanikiwa hasa Kwa mfumo wa mapinduzi
Kwa maana rahisi Hilo jeshi limeganyika vipande.
Niswala la muda tu ngaja njaa iwaingie raia
Haya mawazo ya kutegemea tegemea misaada ndio yanawafanya muuze bandari. Kwani unadhani ni lazima umeme watoe kwa urusi au nigeria ?
Good move, mtegemea cha nduguye ......Nigeria imezima umeme iliokuwa inapeleka nchini Niger ikiwa ni sehemu ya vikwazo vya ECOWAS kupinga mapinduzi ya kijeshi.
Kwa mujibu wa AFP, asilimia 70 ya umeme unaotumika Niger unatoka nchini Nigeria.
Chanza: swahilitimes
Na mrusi ni mkoloni mbaya sana sana!; anakulaga bila kunawa tena kwa mikono miwili!Huku ni kuhama kutoka mkoloni mmoja kwenda mwingine. Wagner ni mamluki wa Urusi walio na kazi ya uporaji wa mali na uuzaji haramu wa silaha.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Unaweza thibitisha bandari imeuzwa au itauzwa?Haya mawazo ya kutegemea tegemea misaada ndio yanawafanya muuze bandari. Kwani unadhani ni lazima umeme watoe kwa urusi au nigeria ?
Nilikuwa na Mzungu mmoja hivi tunakula gambe.. kwenye story zetu akawa ananiambia Kuna baadhi ya mataifa ya ulaya bado wananyonya Afrika.. yeye alikuwa anatoka ujerumaniWao wazime, ila Niger hairudi mikononi mwa Mfaransa.
Mfaransa nasikia anataka kuivamia kijeshi akiungana na ECOWAS vibaraka , Wasithubutu .
Afrika inaendelea kujiokoa Toka mikonoan mwa wakoloni.
Nashangaa, Waafrika, tunafanyiana Roho mbaya, Huyu Tunubu ni Kibaraka Pro!!.
Hili liko wazi wazi, na wala siyo Ulaya tu. Watu wanasahau biashara za Wahindi na Waarabu. Kuanzia scandal za Loliondo, twiga. biashara za mazao kama mchele, korosho na mbaazi zimekuwa zikiwanufaisha Waasia kulikwa Waafrika. Ukitaka kudeal na kitu, fanya kwa ujumla wake.Nilikuwa na Mzungu mmoja hivi tunakula gambe.. kwenye story zetu akawaanania Kuna baadhi ya mataifa ya ulaya bado wananyinya Afrika.. yeye alikuwa anatoka ujerumani