Nigeria yawazimia umeme Niger kama kikwazo cha ECOWAS

Let me give you facts:

Demokrasia haikuanza West kwa wazungu,ilianza medieval Greece karne nyingi huko nyuma na Europe wakaanza kuitumia karne ya 18,19,20 na sasa 21

So far the best system to organize and society to rule itself ni DEMOCRACY na sio hizo military dictatorships unazotetea ujinga wake hapa

Another fact,chuki zako kwa wazungu hapo hapo unawapenda mabepari kutoka East kama China na Russia ni ujinga,kataa wote maana wote ni wanyonyaji!

Let me debunk Rwanda biggest lie:

Rwanda ni dictatorship eti ina maendeleo zaidi ya democratic country of the same size and nature,NEVER!Ukweli ni kwamba Botswana ina demokrasia nzuri na iliyokomaa na ina mazingira ya watu na land size kama Rwanda ila ina maendeleo na uchumi bora na hali bora ya maisha ya watu mmoja mmoja mara tatu ya Rwanda....

Usilete sababu ya "maendeleo" kuhalalisha dictatorship mbwa nyie
 
Ngoja Mrusi Apeleke jenereta kubwa kubwa kwa madege makubwa zifanye kazi kwa niaba ya Nigeria na wao wasafe economic terms
 
Kwa hiyo kuna mtu anayetegemea mtu kama huyu Traore anayevaa gloves 24/7 ndio atakuwa kiongozi bora kuliko kiongozi wa kiraia?
Alafu cha kushangilia nini, mbona Traore mwenyewe kafanya mapinduzi mwaka jana kwa mwanajeshi mwingine Damiba aliyefanya mapinduzi mwaka jana huohuo?
Sasa ni mapinduzi yapi mnashangilia, ya mwaka jana mwanzoni ya Damiba au ya mwishoni ya Traore. Na vipi akitokea mapinduzi mengine (which I strongly believe yatatokea) dhidi ya Traore napo mtashangilia? Kuongoza nchi imekuwa kama Simba na Yanga kila mwaka mnasajiri?
Akili za maandazi kabisa hizi.

Kama mapinduzi yangekuwa ya maana basi Afrika lingekuwa ndio bara linatoa misaada maana ndio lenye mapinduzi mengi. Sudan ingekuwa ni nchi ya kwanza kiuchumi Afrika maana imefanya majaribio 17 ya mapinduzi tangu iwe huru, ila mpaka sasa Tanzania tunaizidi kiuchumi. Basi Sierra Leone ingekuwa ya pili kiuchumi maana imefanya majaribio 15 ya mapinduzi.
Na South Africa ingekuwa mwishoni mwishoni uko kiuchumi, haijawahi fanya jaribio lolote.
 
Hivyo vikwazo kwanini NIGER tu wakati zipo nchi kibao West Africa zimepigwa mapinduzi[emoji4]
 
The so called mifumo ya kidemokrasia ndio imesababisha leo hii Ulaya Amerika kusini na Kaskazini kuwa na idadi kubwa ya watu wanaobadili au kukana jinsia zao.

Demokrasia ni too barbaric kuliki neno barbarism.
 
Unaandika ngonjera nyingii zisizo na kichwa wala miguu.

Kwa taarifa yako hata Ufaransa hakuna Demokrasia ndio maana waandamanaji wanapigwa kama mbwa koko.

In short democracy is a myth.

Na hao wahuni mnaohisi wamestaarabika wanatumia huo uhuni wa takataka yao ya Demokrasia kuwanyonya na kuwakandamiza waafrika.

In fact I wish death to all people who support western demons.
 
Wewe jamaa unachekesha, kwani Greece wanaishi waarabu, si kwa wazungu hao hao ambao wanapambana wasitoke kwenye Jumuiya ya Umoja wa Ulaya.
 
Kama Demokrasia ina maana leo hii george bush na barack obama walitakiwa kuwa magereza kwa mauaji makubwa waliyoyasababisha wakati wa tawala zao.

Demokrasia is a myth

Demokrasia ni takataka.
 
Kama Demokrasia ina maana leo hii george bush na barack obama walitakiwa kuwa magereza kwa mauaji makubwa waliyoyasababisha wakati wa tawala zao.

Demokrasia is a myth

Demokrasia ni takataka.
Bush na Obama wakifungwa au wasipofungwa ndio itasababisha Sudan waliofanya majaribio ya mapinduzi mara 17 wapate maendeleo?

Basi tuseme demokrasia ni mbovu, hao Niger mapinduzi matano mpaka leo yamewaletea nini kimaisha. Mnavyoshangilia as if hili ni tukio la kwanza, jaribio la sita hili na moja ndio liliwahi kufeli. Mapinduzi mara tano, hata umeme hawana Nigeria imezima 70% ya power supply yao. Mbona hayo mapinduzi matano hayakuleta maendeleo.
 
Na nyinyi ambao mnajifanya mna demokrasia inakuwaje mnashindwa kusimamia uendeshaji wa bandari yenu hadi mnafikia hatua ya kwenda kuchukua wawekezaji kwenye mataifa ya kidikteta ?
 
Unavyo question hayo mambo ya ukosefu wa umeme, usijizime data ukasahu ku question roles played by Western nations kuhakikisha hilo eneo linabaki kuwa maskini na tegemezi wa misaada kutoka nchi za Magharibi.
 
Mfumo wa Kidemokrasia mlijichagulia wewe na nani ?

Kabla ya kuja mabwana zenu wakoloni, tawala karibia zote za Afrika zilikuwa zinaongozwa na wafalme au Malkia. Uliona wapi mfalme anapigiwa kura.
Ukiwa mwanaume hupasw kuonesha unapenda kuamuliwa kila kitu na mwanaume mwenzio , mfumo wa kidemokrasia ni bora sn
 
Unamuelewesha nyan unapoteza muda , mwenzie akimchukia kiongoz wake bas anajali kutolewa kwa yule kiongoz wala hajali kuhus nan anachukuwa madaraka
 
Ukiwa mwanaume hupasw kuonesha unapenda kuamuliwa kila kitu na mwanaume mwenzio , mfumo wa kidemokrasia ni bora sn
Kwa hiyo wewe kwa akili yako unadhani Tanzania kuna demokrasia ?
 
But they have to be given time. Maybe they listen to other leaders and consider that the morals that western leaders have started to lack in leadership are worth the risk of enforcing change. Let’s give them time.
 
But they have to be given time. Maybe they listen to other leaders and consider that the morals that western leaders have started to lack in leadership are worth the risk of enforcing change. Let’s give them time.
Siafikiani na wewe kuhusu hili

Kama sheria tumeelewana kama citizens kupitia katiba yetu kwamba mtu kuingia madarakani ni mpaka tumpigie kura,then wewe unajichagua unajiingiza madarakani kwa kuvunja katiba yetu,wewe ni haramu to begin with!

Kama rais tuliemchagua hatumtaki au anatutendea mabaya kuna utaratibu tumejiwekea kwenye katiba kwamba tutaandamana wananchi wote tumtoe madarakani kwa CIVIL REVOLUTION na sio kikundi cha jeshi kama alivyofanya Traore na wapumbavu wenzie wa jeshini

Hakuna kumpa time maana yeye ni haramu

Mtu alieingia madaraka kwa kutoheshimu katiba halafu eti tumtegemee atende mema na mazuri ni impossible.

Just a clue tu nikupe,Niger constitution is suspended mpaka hapo Traore atakapoamua kurudisha hiyo katiba,hivyo yeye ubongo wake ndio katiba,law,etc of Niger!

Kila mtu anachukia Western Powers lakini ni upumbavu zaidi kama eti hapo hapo unapenda Eastern Powers ambao wote ni wanyonyaji na washenzi....kataa wote kwa nguvu zote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…