Night message to Tatiana. You know that I love you

Night message to Tatiana. You know that I love you

M
Hahaha............Kijana Wacha kuwatisha wenzio, waache wapendane

Unaweza usimwoneshe hayo mapenzi na bado jirani akafanikiwa kummega kisera 😜
MKuu nakuahidi sitamtembezea tena fimbo ya ukwaju, ngoja usiku wa Leo nimpe kitu mtima wake unapenda then akitoka hapa akamweleze mleta mada jinsi ambavyo tunda humegwa likamegeka haswa.
Na stick kwenye kaulimbiu isemayo ufundishwe ukamfundishe.
 
Kila la heri Mkuu 👏
 
Mapenzi mubashara...

Nami nichukue nafasi hii kumtakia heri ya siku ya kuzaliwa mzee mwenzangu, mwanangu wa damu kabisa Makiwendo mungu atimize ndoto zako. Huna baya kabisa na mimi, nakukubali hilo unalijua.

Mbinguni, utakaa kwenye siti yangu, mie nitasimama.
Ahsante Bestie wangu Makaveli...
Hiyo siti yako mbinguni hata ipo basi🤣
 
Back
Top Bottom