Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Mbona niko poa mkuu, jibu swali langu tukupe ushauri?Huko ghorofani umesalimika kweli?
A very strong advice from a loved on... Go for that thing BMWNaamini hapa JamiiForums kuna wataalam wa magari Na wabobezi mlio bobea. Niko UK kwa Malkia Na nimehitimu vyema masomo yangu.
Nataka kurudi January nchini Na nataka nirudi Na Usafiri wangu wa kunimuvusisha from point A to B. Je nichukue gari gani kati ya Mercedes Benz C 200 Na BMW M3 3series?
Ipi ni nzuri kwa barabara zetu za uswahilini, fuel consumption, availability ya spares Na durability. Bila kusahau swagga Na mtama nikiwa na cruise
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Hizi picha zako mbona hazifunguki
Yes M3-coupHii ni BMW? It is soooo sweeeeet
Mtumiaji wa hili gari atakuwa mwanamme au mwanamke
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Land Rover defender kwani nafanya Doria?
Ata enjoy maishaKwa yoyote utakayochagua tafuta gari ya diesel..